Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
naomba niseme kidigo juu ya hili
mafile ya hawa wafuatao yamefikishwa mbele ya mkuu wa nchi katika kumshauri hawafai kuwa ndani ya baraza jipya la mawaziri
1. steven masele
2.charles tizeba
3. makongoro mahanga
4. kigwangala hamis
5.dalali kafumu
kama atawateua basi ni yeye kajiamulia....ila ameshauriwa na pia ofis ya waziri mkuu na spika walituma ujumbe wakimtaka rais ateue mawaziri wenye uweo kwani wengi waliopo hawana uwezo wa kukabiliana na hoja na maswali ya wabunge bungeni....
Moyo gani tena mkuu, mbona unatuachia mafumbo?
Wana JF,
Habari za uhakika toka ndani kabisa zinasema kwamba JK ameita mkutano wa waandishi wa habari kesho asubuhi pale Ikulu. Hii ni wazi kwamba baraza la mawaziri litatajwa hapo. Hii ni uhakika kabisa.
Nawasilisha
Heri mabaraza yaSungusungu au Gacaca yanaonyesha haki kutendeka kuliko mahakama zinazotenda kwa matakwa ya watawala!
Wana JF,
Habari za uhakika toka ndani kabisa zinasema kwamba JK ameita mkutano wa waandishi wa habari kesho asubuhi pale Ikulu. Hii ni wazi kwamba baraza la mawaziri litatajwa hapo. Hii ni uhakika kabisa.
Nawasilisha
Mkuu wangu nakubaliana na wewe
watu wanadhani sheria za nchi zipo kwa maslahi ya Chadema...wanasahu
kuwa mahakama zinaendeshwa na sheria ambayo ni taaluma sio maneno ya
mitaani.
JUSTICE MAKONGORO MAHANGA (MINISTER FOR FINANCE SELECT) HAD LONG DELIVERED JUDGMENT OF 'A WIN' IN HIS OWN CASE ABOUT A FORTNIGHT AGO 'AND IT IS STILL JUSTICE FOR ALL THE MAGOGONI STYLE' ANYWAY
... Freedom is coming soon to the explicit independence of our Judiciary soon after a regime change through democratic means.
So far so good, never cry your souls out over all these because sooner than later this fradulent CCM government is going to be a minority back-bencher political party in our legislative council Dodoma hivyo walalahoi kila mmoja tukajipe pole kwa aibu zote hizi z Magogoni kugeuka mahakama.
The Plantiff Makongoro Mahanga KNEW WHAT HE WAS SAYING that time that he most deliberately and emphatically chose to prepare the nation to 'CELEBRATE' his Magogoni premeditate court judgement come May 02, 2012. Mahanga read us a judgement in his own case as early as April 23, 2012 and today it all came to pass the same way he had vividly put it.
Mahanga, we are truely celebrating now as you ha long advised. And tha is equally another BRAND OF AFRICA JUSTICE anyway; hakuna matata zaidi ya adhabu ya kufa mtu dhidi ya CCM kupitia kura zetu 2015!!!
Wana JF,
Habari za uhakika toka ndani kabisa zinasema kwamba JK ameita mkutano wa waandishi wa habari kesho asubuhi pale Ikulu. Hii ni wazi kwamba baraza la mawaziri litatajwa hapo. Hii ni uhakika kabisa.
Nawasilisha
rais ateue mawaziri asiteue mawaziri hii shauri yake kwani sitegemei kupata waziri yeyote mzuri. kwa utamaduni wetu pale magogoni, rais atatakiwa na wenzake kuteua wabunge kutoka kwenye kapu lilelile la ccm ambalo ni sawa na kumtaka rais achague embe moja bivu kutoka kapu la maembe mabichi. matokeo ni dhahiri kila embe atakalochagua litakua bichi.
Ni vigumu kwa Lipumba kuingia, kwa sababu si mbunge. Na hata akiteuliwa kuwa mbunge it means Bunge la dharura liitishwe ili aapishwe (ubadhirifu wa pesa posho kwa wabunge wote). Ni vigumu,, ongeleeni watu wengine