Alex Katto
Senior Member
- Mar 3, 2013
- 155
- 20
Kikwete is the smarttest leader ever
wenye chuki hamtaona jema hata moja la Kikwete maana mmevaa miwani ya mbao. mnapita kwenye barabara za lami alizojenga kikwete lakini kutwa kucha ni kumtukana tu. hatutarajii maajabu kutoka kwenu. mmekaririshwa.
Mkapa Regime was eager to develop the so called Mtwara corridor, including completing the 60km road stretch( Nyamwage area), but its more than 8 years the stretch remain uncompleted. On the other hand Mtwara Corridor has been abondoned, no one is talking this during this regime! Thanks to God by bringing to Southerners with plenty natural GAS, at least the regime had nothing to do rather than to develop the Gas Infrastructures! I am trying to think if Southerners could not have Gas reserves, it could worse than ever!
Nakushauri tumia Kiswahili, utaeleweka vizuri zaidi.
Ukiangalia post zako, utakuwa mwanasiasa wa ovyo ovyo ama mchawi! hazijielezi kilojic!
utambue kwamba kikwete katafuniwa na marais waliomtangulia, yy alikuwa anameza tu! ndo maana alikuwa anashinda ulaya!
sishangai hata wewe unayeandika huu upuuzi umesoma kwenye shule za kata, na ukagraduate pale UDOM. na barabara unazozipita kila siku amejenga Kikwete. halafu unakuja kupost utumbo huu. kuwa basi hata na aibu japo hata kidogo. kabla ya juhudi za kikwete ilikuwa ukitaka kwenda mwanza/bukoba/mara lazima upitie nchi jirani yaani nairobi na kampala, au unatumia siku 3 kutoka nanyumbu hadi Dar. jitafakari kabla ya kupost bhana, mambe mengine ni aibu. kuhusu cCM mimi naichukia mbali sana wala usijilinganishe na mimi kabisa.Hizo ni namba tu hazina mpango tuje kwenye reality hapo leo watz wangapi wapo gizani? Quality ya hizo barabara zi wapi? Vipi kuhusu output ya enrolled students kwenye hizo shule? mnakera sana nyie gambaz.
chinga hunifikii jinsi ninavyoichukia ccm. naamini huwezi nifikia hata robo. japokuwa na recorginize kazi iliyotukuka aliyoifanya Kikwete. kusema ukweli huku kwetu tulikuwa tumesahaulika kabisa na ndo kisa cha kuichuika ccm tokia moyoni kabisa lakini kwa kiasi chake Kikwete ametuwezesha na sisi kuiona dunia ilivyo. kwa kifupi nitamkumbuka huyu jamaa katika maisha yangu yote kwa haya.Sasa mi na wewe nani ni mteja wa mirembe? Umepigwa sindano ya ganzi ya ubongo akili yako haioni kabisa evils za maccm mnatetea uozo,watanzania wanateseka kutokanA na upuuzi wa magamba halafu nyie mnapiga makofi,kesho kwa mungu kuna moto ujue ohooo!
naona matusi yamekuvuka. hiyo ni dalili ya kuishiwa hoja. unaonekama mweupe kabisa kichwani. nitajie hizo barabara alizojenga mkapa. halafu unasesema eti hizo km zingine aliendeleza za mkapa, hujui kwamba hakuna hela iliyo idol inasubiria kufanya kitu fulani, zote ni hela zinazokusanywa kutoka kwenye vyanzo mbalimbali kwa muda husika, ndo maana hata sasa kuna wakandarasi wanacheleweshewa malipo kwa sababu hela bado hazijatosha. kwa kifupi unaonekana mweupe kabisa kichwani huku ukiwa ni msukule wa kibavicha uliyekaririshwa chuki.
huyo mpaka unaemuabudu ndo yule aliyegeuza ikulu kuwa sehemu ya biashara zake? je waijua banki iitwayo anaben, mgodi wa kiwira, mwananchi gold, mikataba yote ya migodi, ndege ya rais, rada ya chenge, ndege za jeshi, magari ya jeshi, NBC mil 70 kwa makaburu, na mengine mengi? jifunze kutafuta ukweli. unavyonekana huelewi chochote wewe.
Nadhani hatuelewani hapo! Kujengewa barabara siyo fadhila za Kikwete kwa watanzania, ni wajibu wake! Pia nataka uelewe fedha anazotumia siyo zake ni za kodi zetu. Binafsi nnalipa zaidi ya laki tatu kila mwezi. Do you have any idea inauma kiasi gani unalipa kodi hiyo, halafu anakuja mtu anakwambia tunaweka lami, halafu unagundua tenda alipewa mtu incompetent? Do know how it feels pale barabara hizo zinapodumu miezi minne tu zinaaza kuyeyuka na kutoka mashimo? Do you?
Halafu mmekaa mnakariri ujinga na kudai maendeleo! Watanzania wanataka Viongozi wanojali na kutekeleza majukumu yao kwa dhati siyo hadithi na siasa kula sehemu. And by the way mnaweza kunieleza kuwa hela huwa zinaishia wapi? maana shule zimefeli. Walimu hawatoshi, maabara hakuna na Maktaba ni hadithi, na zilizopo hazina vitabu, na zenye vitabu havikidhi vigezo! Hela zinaenda wapi? Kwa nini hospitali hazina vitanda? kwa nini bado Madaktari wanadai nyongeza za mishahara? kwa nini manesi wanalipwa visenti? Mbona makusanyo ya kodi yako juu sana?
Mnataka kusifiwa? Siyo hapa mpendwa, afanye vizuri atasifiwa. Na wala msitake tusubiri mpaka afe. Tutasema wakati huuhuu ili hata akifa aende akijua yeye na wenzake ndiyo wataabishaji wa Taifa hili!
Wewe ndo mgonjwa na kama siyo mgonjwa wa kifafa basi labda utakuwa kwenye hedhi tu!
Mbona hoja za kujenga kwa kutumia fedha za ndani na fedha za mikopo huzungumzii? Unabaki kupiga kelele tu ooooh Kiwe.te kajenga kilomita 11, shame on you mommy!! Hivi unaufahamu urefu wa barabara ya kutoka Mwanza hadi Dar wewe? Unaujua urefu wa barabara ya kutoka Mtwara mpaka Mtukula wewe? Hizo zote kajenga Mkapa na kama jamaa yenu aliziorodhesha kwenye barabra alizojenga yeye basi atakuwa amechapia vibaya sana na Mizombie kama Abunuas ndiyo itabaki inashadadia!! Barabara ya kutoka Mwanza hadi Bukoba kainzisha Mkapa!! Na zingine nyingi ambazo hata wewe unazifahamu (If you think out of the box)!!
Mimi ninachojua Mkapa katuacha pazuri na sasa tunaachwa tuko pabaya!!!
spin twist spin twist. sishangai hata kidogo leo hii kusikia kutoka kwenu kuwa UDOM ilijengwa na nyerere ila ilikuwa haionekani ndo maana kapafanya pale dodoma kuwa makao makuu ya nchi. hivi unafikiri sisi sote ni wajinga kama nyie? Just a simple task, ingia kwenye website ya ujenzi kuna kila kitu, na inakuchukua muda mchache sana kuyaona haya na naamini hutakuja kupost uharo kama huu. tunajua mnaona aibu ndo maana narudia kusema mnatamani leo hii mwendelee kusafiri siku 3 kutoka nanyumbu mpaka dar au mkitaka kwenda kanda ya ziwa mpitie nchi jirani. usiandike kwa kutanguliza tumbo huku ukiwa umelewa mbege, tumia muda kidogo kujisomea. au umekaririrshwa kuwa kila alichofanya kikwete ni kupinga tu?
ieleweke kwamba si underestimate mchango wa mkapa kwa taifa hili ukiachilia maovu yake aliyoyafanya ( kama vile kufanya biashara zake ikulu mfano banki iitwayo anaben, mgodi wa kiwira, mwananchi gold, mikataba yote ya migodi, ndege ya rais, rada ya chenge, ndege za jeshi, magari ya jeshi, NBC mil 70 kwa makaburu, na mengine mengi) ni kimlinganisha na Mwinyi na nyerere (the least). alifanya mazuri mengi tu ikiwa ni pamoja na kujenga barabara km 3000 kwa miaka 10 ukilinganisha na nyerere aliyejenga km chini ya 2000 kwa miaka yote 24 pale magogoni. lakini siwezi kumlinganisha na Kikwete hata kidogo labda rais ajaye ambaye sote hatumjui (japo wewe unaota slaa atakuwa rais-sijui wa kule karatu, anyway...)
nakushauri kama huna data usiandike humu japo hatukujui lakini hujengi zaidi ya kubomoa.
Tembea nchi za watu ndipo mtajua maana ya barabara.Huyu ni baba wa taifa wa miundo mbinu(bara×2) na uhuru wa kujielezea mengine mtaongezea. Hapa si hiari tuna lazimika kumpa hii sifa hata kama hututaki.
we dogo sikiliza kama ni kodi mimi nakatwa zaidi ya 1.2 mil kwa mwezi na wala silipwi na kodi zenu za wadanganyika. si ajabu wewe ni muajiriwa wa serikali au mashirika yake na unalipwa mshahara wa kodi zetu. hata sukari ninayonunua kutoka kwenye maduka yenu nakatwa kodi na sahemu anuwai. ninachokieleza hapa ni comparison. hebu fikiria nyerere amekaa pale magogoni miaka 24 amejenga chini ya km 2000 za barabara. je huyo alikuwa hakusanyi kodi zenu? je nyerere hakuliachia taifa hili madeni makubwa ambayo mpaka leo tunasamehewa na nchi mbalimbali. hebu jiulize mwaka jana brazil walitusamehe deni lililokopwa miaka ya 70s na nyerere, tena kipindi hicho brazil ikiwa masikini kama sisi lakini bado alienda kukopa. leo hii kikwete anatuachia km 11,000 za barabara, kitu amabcho watangulizi wake walishindwa kukifanya. au unataka kuniambia kuwa sasa hivi tanzania imeongezeka ukubwa? sio ajabu hata wewe pamoja na hako kamshahara kako unakojisifia humu umesoma shule za kata alizozijenga kikwete na umepata kadegree kako UDOM na probably ni accountant hapohapo Udom au Nelson Mandela university kule arusha taasisi zote alizozijenga kikwete. mjifunze angalau kuappreciate hata kama mnachuki na mhusika maana hayo aliyoyafanya si ajabu yeye mwenyewe hata hana faida kivile kama nyie wasaka nyoka. kikwete ni binadamu anamapungufu yake (kama hili la kuingilia mchakato wa katiba) lakini haliondoi ukweli kuwa kikwete katutoa shimoni angalau sasa tunaiona dunia. leo hii udahili wa wanafunzi umeongezeka kutoka 40,000 wakati anaingia madarakani mpaka 180,000. je ni kweli hata hayo hamyaoni? au mna yenu nyuma ya pazia? hebu tuelezane basi maana haya yote aliyopyafanya yanaonekana kwa kila mtu ila nyie wenzetu mmeshupalia tu kuwa JK hajafanya kitu. maajabu haya.
Mheshimiwa Rais wa JMT akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari mwandamizi kutoka Nation media group aliulizwa swali je anategemewa utawala wake kukumbukwa kwa yapi ,Jk alijibu kama ifuatavyo:[/QUOTE
Mimi nitamkumbuka kwa mengi kubwa ni kukuza dhana ya udini nchini
Mzunguko wako ni 28 au 30????????????????.kUNA KITU HAKIKO SAWA KICHWANI MWAKO Kwa sababu ya M-cycle.
Binafsi nikupongeze kwa kuteuliwa kukatwa kodi ndefu kama hiyo. Ila pia nikupe pole kwa kuwa matumizi ya kodi hiyo hayaridhishi. (That was first).
Second, nafikiri hatujaulizana umri hapa. Kwa hiyo ukirudia kuniita dogo utakuwa unanitafuta mengine. Kwa taarifa yako sijazaliwa jana. Sijasoma hizo shule zote ulizotaja, na sijaajiriwa na serikali na kodi zetu hazinilipi mshahara. Nimeishia form 4 na haikuwa shule ya kata. Sijui nani kakwambia ufanye assumption mbovu kiasi hicho. Any ways, this was personal. And its not a big deal.
Tatu, Kinachokosololewa siyo barabara hasa. Ni matumizi mabovu ya resources. Ni kushindwa kusimamia vizuri hizo fedha zilizoenda barabarani. Its meaningless kuwa na coverage ya km 11000 ambazo zitawasaidia watanzania kwa miezi 3 au 5, wakati ungeweza kuwa na aidha km 11000 nzuri ila hukusimamia vizuri mafungu, au ungeamua kuja na km 7000 ambazo zitawasaidia watu kwa miaka 10! That is what we are talking about. Hatuna shida na barabara. Tuna shida na ukweli kuwa alipwaya sana. Siyo kwamba nasema hakufanya chochote, noooo. Nasema it was not good enough! Na siyo barabarani tuu nenda kokote halafu linganisha na mapato na makusanyo ya serikali.
Tatizo langu ni...Kwa nini mnawanyang'anya maskini kidogo walicho nacho na kuwapa matajiri? Kwa nini manawaachia nchi yetu fisi wenye uroho wa roho zetu? Kwa nini hamjali wakati hali zetu zinazidi kuwa mbaya kila siku? Na kwa nini hamsimamii kodi zetu ipasavyo? Kwa nini?