Source TBC 1
Jk anaonekana bado anamawazo lile tabasamu lake halipo kabisaaaa mda wote kanuna
Acha iwe kwenye rekodi ili tuwe na precedence pindi rais mwingine atakapofanya madudus.Ndio ameamua kuwaapisha hivyohivyo mawaziri WAKE.
Ndio ameamua kuwaapisha hivyohivyo mawaziri WAKE.
Wewe unadhani kuapisha wabunge (ambao hawajaapa kuwa wabunge rasmi) kuwa mawaziri ni suala dogo ?Ndio ameamua kuwaapisha hivyohivyo mawaziri WAKE.