JK aapisha Baraza la Mawaziri

naibu waziri wa nishati na madini steven masele ni kichomi kibaya sana, mbunge wa shy town aliyepita kwa kuiba kura
 
Source TBC 1

Jk anaonekana bado anamawazo lile tabasamu lake halipo kabisaaaa mda wote kanuna

Mi nasikitika kwa kuwarudisha wezi na wasio faa kama;-
Malima,
Maghembe,
Mkuchika,
Nyalandu,
 
Nimeangalia wakati Rais akiwaapisha Mawaziri, japo sikufanikiwa kuangalia mawaziri wote, lakini zaidi kabisa sikufanikiwa KUMUONA MWANDOSYA AKIAPA!

Nisaidieni wadau, Mhe. Aliapa vipi? kwamba ''ATASIMAMIA KWA DHATI WIZARA ISIYO MAALUMU,AMA''...

Nawasilisha!
 
Embu tupeni na picha tuone mafisadi watarajiwa wakila viapo vya kutunza siri... nasema watarajiwa kwa sababu ya system
 
Wizara isiyo maalumu huwa inashugulikia nini?? na ofisi zake ziko wapi?? unajua jk ana kejeli wakati sisi tunapiga kelele kuhusu ukubwa na matumizi ya serikali yake yeye ndio kwanza anaipanua kwa kuongeza wizara ambazo hazina tija na watu wagonjwa ambao hawawezi kutumikia taifa kwa dhati!!he is a failed president!!
 
Back
Top Bottom