simon james
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 283
- 140
Tendo hilo linaendelea huku AG, pinda etc wakiwepo
Harrison Geaorge Mwakyembe
Waziri wa uchukuzi anaapa
Wewe mtaje taje tu hukuji anamiliki SMG.....nasikia hata akina Adam Malima wanaapa!?
Si hao walishaapa .....kwani jk alivunja baraza la mawaziri au amefanya ku-adjust nafasi kwa kuondoa na kuingiza wengine!?
Naona mawaziri wanaapishwa. Wakuu naombeni jibu mbunge kuanza kuapa au waziri? Ninavyofahamu mimi wabunge kwanza, spika, waziri mkuu kisha mawaziri.
Naona mawaziri wanaapishwa. Wakuu naombeni jibu mbunge kuanza kuapa au waziri? Ninavyofahamu mimi wabunge kwanza, spika, waziri mkuu kisha mawaziri.
Arusha Mambo tunarusha moja kwa moja tukio la kuapishwa kwa Baraza la Mawaziri,
visit: www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM...." kisha LIKE the Radio.
Sikujua kuwa Waziri wa Fedha Prof. Sospeter Mhongo ana kiswahili kibovu kiasi kile! Wala sikuhitaji kuuliza anakotokea....ni full Mnyalu!