Elections 2010 JK aaibika uwanja wa Kipunguni Moshi Bar

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Nimepata habari kwamba leo hii Jk alikuwa anahutubia eneo la Kipunguni Moshi Bar jijini Dar na ilipofikia kusema wangapi watampigia kura? Wachache mno walionyesha mkono juu!

Bye Bye JK, mwanakwetu. Pengine it's not your mistake -- ni wapambe wako wanaokudanganya.
 
Wala sishangai, huko wa2 washachoka na upuuzi wa mafisadi!
 
Napafahamu sana Moshi Bar, wakuria wengiiiiii! Hawa ndio waliomtoa mbinde kule Tarime, itakuwa Dar? Watu wamefuga kuku mpaka wamechoka! Hapati kitu Kipunguni. Nina rafiki zangu pale Magereza Ukonga wanaishi Kipunguni nao wanasema wamechoka serikali ya CCM! Kazi ipo
 
Mwaka huu kikweche anapiga kampeni kipunguni? Kesho basi ataenda Bonyokwa na Saranga. Ha ha ha!
 
Leo tena nilikuwa Bandarini kuna jamaa alikuwa ana shout kwa sauti kwenye ofisi ya Bandari pale Chagua SLAA watu wanasema kapitaaa hahhah watu kweli wamemchoka mkwere na CCM yake
 
Barabara ya kuelekea huko ina mahandaki. Mahanga alishanyimwa kura za ubunge akaisusa miaka mingi iliyopita. Nina uhakika hawezi pata hata kura 1 huko
 
tupashe aliyosema profesa wa uchumi huyu mimi namwamini na hakika kura yangu anastahili kupata wengine wasanii tu!!!!!

tatizo lako zubeda we umakalia udini tu...We ndo Mbumbu la mwisho na kwa akili hizo watoto wa kike mtazidi kukaa ndani ka ferniture
 
Back
Top Bottom