Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,864
- 2,200
Hatima mbayaMbona huwa unajificha kwenye sentensi za namna hii kwenye hoja zako tata? Mimi naona na wewe unakuwa hujui lolote ila kupitia njia hii unajaribu kupata clues. DAB naye kimya, kuna kitu kinachofanana hapo?
HahahahaKwamba yupo anaendesha kikao kizito sana kuhusu kina Nape na January waliokana kutunga sheria mbovu, anataka awapotezee mzee baba... Hahaa
Muogope Mungu.mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Fungua code achana na maneno ya kwenye kangaNa akishazuga hivyo harudi kuandika chochote anachojua zaidi.
Jamaa huwa maandishi yake nayachukulia kama comedy.
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwoneni kichaa mwingine huyu hapa, Evarist Chahali yuko Finland ulimpeleka wewe?mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Mambo magumu SGR wanadai kutolipwa mwezi was 3 sasaHata kuzindua sikuhizi hakuna uzinduzi. Sijuietumefikia malengo ya viwanda!
Umenikumbusha ya mwaka 1984, mwaka 1999 na mwaka 2001Wimbo wa Taifa utapigwa saa ngapi TEA BEE SEA?
Ikiwa si kibaka itakuwa askari mkamata wazembe na wazururaji usiku ili uachiwe chochote!!mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Yupo na akina musiba bashite, lemutus, wanapanga mbinu ya kusima uasi wa nape,makamba na bashe, wanapanga namna ya kuzima CCTV camera na kuondoa ulinzi Sikh ya tukio na kuratibu mazishi ya wahangaMoja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama humjui Jiwe umejuaje mleta mada ametumia lugha ya kihuni?Inashangaza sana mtu mzima kama mleta mada kutumia lugha za kihuni, jiwe ndio nani??