Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,116
- 4,773
Chahali hayuko Finland bhana. We nawe acha kuwa lopolopo.mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Kwaiyo usaidiweje??mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Mheshimiwa:Kuhusu viwanda ukiwa na cherehani na blender tayari ni kiwandaHata kuzindua sikuhizi hakuna uzinduzi. Sijuietumefikia malengo ya viwanda!
mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Mbona huwa unajificha kwenye sentensi za namna hii kwenye hoja zako tata? Mimi naona na wewe unakuwa hujui lolote ila kupitia njia hii unajaribu kupata clues. DAB naye kimya, kuna kitu kinachofanana hapo?(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first)
Kwamba yupo anaendesha kikao kizito sana kuhusu kina Nape na January waliokana kutunga sheria mbovu, anataka awapotezee mzee baba... HahaaMoja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajikausha kau kabisa kukwepa aibu ya koro - show.Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huwa unajificha kwenye sentensi za namna hii kwenye hoja zako tata? Mimi naona na wewe unakuwa hujui lolote ila kupitia njia hii unajaribu kupata clues. DAB naye kimya, kuna kitu kinachofanana hapo?