Jiwe safarini arusha part 2

Last edited by a moderator:
Erickb52 hapa nimefika bana hana haja ya kuhangaika bana. Nimetulia bana na mliobaki macho juu ni wewe na Arushaone na 'vin diesel na watu8 aise mnadaka kila kitu Mamndenyi nakupenda wewe achana na huyu Erickb52
Wakati alikuwa kila siku anamuulizia Dena Amsi aise si uliona alivyochangia kwenye ule uzi wa ndoa yangu na Dena Amsi imevunjika
Hahaha...mbio za farasi mie simbilisi niziweze wapi...siku ile nilikua nahakiki tu maadili ya ndoa ili Kamati ya Ndoa iwaandalie Cheti....lol
Huo ni uongo kwa kuwa umemtaja watu8 wakati hanaga appetite na hayo makitu aisee lolKajituliza kwa measkron hataki kokoro!
Hapo nimetulia tuli kama yai linaloatamiwa na mteteee....i luv my sweetcandy measkron
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...mbio za farasi mie simbilisi niziweze wapi...siku ile nilikua nahakiki tu maadili ya ndoa ili Kamati ya Ndoa iwaandalie Cheti....lol Hapo nimetulia tuli kama yai linaloatamiwa na mteteee....i luv my sweetcandy measkron

Hata mi naona aisee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…