Jiwe Linaloishi karibu sana mkuu naamini mara hii tutaonana Erickb52 habari zako bana umepotea kama jasho la kuku Passion Lady namuogopa loya bana Ruttashobolwa asije akanipa kesi ya trespass aise maana yule hakawii Mamndenyi nimekumiss wewe
Easter ndo hiyo inakuja aise na kuna zawadi zako nyingi tuu
Mamndenyi nazituma klwenye fastjet hapa chap naamini zitakufikia kabla ya wakati uliokusudiwa
Jiwe Linaloishi karibu sana mkuu naamini mara hii tutaonana Erickb52 habari zako bana umepotea kama jasho la kuku Passion Lady namuogopa loya bana Ruttashobolwa asije akanipa kesi ya trespass aise maana yule hakawii Mamndenyi nimekumiss wewe
Easter ndo hiyo inakuja aise na kuna zawadi zako nyingi tuu
Twakuombea salama na baraka za Mungu mwenyezi.Be a good boy. Tuombe
............
Baba katika jina la Yesu..namkabidhi Jiwe Linaloishi mikononi mwako..Naomba ukamlinde katika safari yake na muda wote atakuwa huko..Umjalie kibali katika kazi yake..Katika jina la Yesu ninakemea roho zote za yule ibilisi..Baba uilinde na familia yake pia na kwa damu ya Yesu wakapate ulinzi wako..
Katika Jina la Yesu nimeomba..Ameeen.
Hahahahaa ila nae lazma kuna siku atamwaga manyanga kama alivyofanya Dena Amsi yetu macho tu.Erickb52 anajua ninao wengi tuu na amenikubali hivyo hivyo aise na watoto wangu wengi Passion Lady aise nakutafutaje tukapate ndyofu baridi na Erickb52 anajua vijiwe bomba hapa mjini na hapo umwambie Ruttashobolwa kuwa umeenda kwaya Mamndenyi zawadi zinakuja na fastjet ya jioni leo so jiandae kuzipokea
Erickb52 hapa nimefika bana hana haja ya kuhangaika bana. Nimetulia bana na mliobaki macho juu ni wewe na Arushaone na 'vin diesel na watu8 aise mnadaka kila kitu Mamndenyi nakupenda wewe achana na huyu Erickb52Hahahahaa ila nae lazma kuna siku atamwaga manyanga kama alivyofanya Dena Amsi yetu macho tu.
Hajui alianza Yummy enzi zile za akin Lizzy na klorokwini ?
Erickb52 anajua ninao wengi tuu na amenikubali hivyo hivyo aise na watoto wangu wengi Passion Lady aise nakutafutaje tukapate ndyofu baridi na Erickb52 anajua vijiwe bomba hapa mjini na hapo umwambie Ruttashobolwa kuwa umeenda kwaya Mamndenyi zawadi zinakuja na fastjet ya jioni leo so jiandae kuzipokea
Safari njema