Jiwe la wapi hapa?

Nimefurahi kwa kunikumbusha mambo ya kijasusi, ilikuwaje ukapiga picha hiyo mkuu, au katika kusafiri mambo ya kuchimba dawa!!!!!
Asante mkuu, mimi ni mpenzi wa kupiga picha ambazo zinaitwa abstract, zinakufanya ufikiri, Nina picha tofauti zaidi ya 3000 na hiyo ni hobby yangu.

Katika hiyo picha wala sikuteremka kwenye gari ambalo wala halikusimama.
 
Back
Top Bottom