Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,994
Mi nimesoma PCB, katika A-level niliyosoma kulikuwa na PCB na CBG. Katika tuliomaliza form six wengi wamefika vyuo vikuu hata wale waliopata div 3 na 4. Kuna walioenda computer science, food science, veterinary medicine, udaktari, uclinical officer, uafisa kilimo, uafisa wanyama, unesi, maabara, ualimu, uinjinia, uhasibu, clearing and forwading nk.
Wale waliopata ziro walienda vyuo ka matokeo yao ya form 4 nawengine walipata tempo za kufundisha. Hawakuwepo waliokaa kihasarahasara. Ninachotaka kusema ni kuwa sayansi ina uwanja mpana wa mambo ya kusomea. Pia sayansi inakupa nafasi ya kusomea kozi zenye soko tofauti na arts.
Nyakati za kusomesha watoto ilimradi umesomesha zimepitwa na wakati. Inatakiwa kusomesha kwakuangalia future yake. Ukisikia graduate hawana ajira utashangaa 90% ni waliosoma arts. Watoto wanatabia ya kufuata vitu vinavyoonekana ni rahisi. Ni jukumu lako mzazi kumuonyesha njia sahihi na kumtia moyo. Sayansi haina ugumu kwamba mtu mwenye bidii imshinde