Tangazo kwa vijana wote wa tanzania.
Vijana wote wa tanzania mnashauriwa kutoshiriki katika ushawishi unaofanywa wa maandano hapo tar9/12
Kimsingi, hakuna maandamano kwa vile waloyatangaza wameshaishiwa pumzi.
Jali maisha yako.
CHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9.
Akitoa tamko la makubalinao hayo kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Bodaboda, Tanga Mohamed Chande amesema...
Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo...
Ndugu zangu Watanzania,
Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
amani
chadema
chama
dar es salaam
habari
idadi
idadi ya watu
jana
jeshi
jeshi la polisi
katika
kuandamana
kukataa
kushirikikushirikimaandamano
kutumia
kuwadhibiti
maandamanomaandamano ya amani
mbowe
mpaka
uhalali
video
waandishi wa habari
wanachadema
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,
Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania
Amesema “Kama Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.