Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,980
- 22,453
So stupid
Haiwezekani. Ni rahisi kudhani kuwa yeyote angekalia kiti hicho angefanya kama Rais SAMIA, hapana. Huyu ni mkombozi kwa TZ. Hata hiyo katiba mpya itapatikana ktk kipindi hiki chake. Mna taka nini tena.Kwamba haiwezekani kuunga mkono maendeleo bila kumuunga mkono huyo uliyemtaja
Hatukai kimya, tofauti kati yetu nanyi ni njia gani itumike. Nashukuru kwa vyama pinzani ambavyo havikuwaunga mkono, kwani hata kama kuandamana na haki lakini si kwa njia ile na matukio yale yaliyotokea. Hapo mngeviharibia vyama vingine.Hakuna watu wanasaidia nchi yetu kama hawa vijana waliogoma kunyanyaswa , kutekwa, kuibiwa kura. Hakuna watu wabaya kwa nchi yetu kama watu wanaosema tusifanye chochote. Hawa ndiyo maadui wetu. Ni wepesi sana kulaani lakini hawatoi njia yeyote.
Je ni Lini umechukuwa muda na kulalamikia serikali kwenye haki , katiba mpya, rushwa na mambo mengine