SOFTWARE Jisomee vitabu vya Kiswahili bure ndani ya App hii?

SOFTWARE Jisomee vitabu vya Kiswahili bure ndani ya App hii?

App yetu sasa ina vitabu vya sauti. Unaweza kusoma na kusikiliza. Ingia playstore na serach Maktaba Sauti.

Mfano ni hiki.
cover.jpg




 
Naomba msaada hii App nimeikosa kabisaa 🙋‍♂️
 
App kwa sasa inaitwa Maktaba Sauti. Unaweza kusoma na kusikiliza free vitabu zaidi ya 100. Inapatikana playstore.
 
Ingizo jipya. Kitabu hikikinaelezea safari za wakina Vasco Da Gama, Columbus, Magellan, Drake nk, katika kuvumbua nchi na njia mpya za baharini. Kisome bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Inapatikana playstore.
01_with_bgc.png
 
Ingizo no 116 ndani ya app ya Maktaba Sauti. App inapatikana playstore. Kusoma ni bure.

mfanyibiashara wa venice.png
 
Back
Top Bottom