Jirani yetu limbukeni anatuboa

Jirani yetu limbukeni anatuboa

Wadengereko wanapenda makelele, wakiongea tu kama wanaimba au kama wanapiga debe, hahaha.
Na upenda kuongea kama chiriku, na kimba imba.

Nenda kwa baba mwenye nyumba kamuambie, sio vizuri kama wana watoto wadogo wanawaribu masikio.
Lakini watoto wa kidengereko wanaweza kuimbiwa masikioni kwa nguvu ili wachangamke.

Na mdengereko atakubali kuama kuliko kuishi bila makelele.
 
Hayo yalinikuta nikiwa chuo Mlimani (hall 3). Lakini majirani wenyewe walikuwa ni kutoka Mbeya.
walikuwa wanawahi sana kuamka, radio ni full blast halafu mtu anaenda bafuni kuoga!

Lol, umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaaaliiiii, Hall 3!!
 
Wadengereko wanapenda makelele, wakiongea tu kama wanaimba au kama wanapiga debe, hahaha.
Na upenda kuongea kama chiriku, na kimba imba.

Nenda kwa baba mwenye nyumba kamuambie, sio vizuri kama wana watoto wadogo wanawaribu masikio.
Lakini watoto wa kidengereko wanaweza kuimbiwa masikioni kwa nguvu ili wachangamke.

Na mdengereko atakubali kuama kuliko kuishi bila makelele.

Yupo nyumbani kwake, na Mimi pia.
 
Pole sana tafuta vile vya kuziba maskio usisikie kwakuwa kuna watu hawawezi kufanya starehe zao bila kukaraisha watu. Potezea hata kama inaera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom