Awuaraa!
Amanakoy orospo cucuk. Susar misin bee?
Yeah, wakati anaumwa unafungulia nyimbo za vifo vifo hivi, kama ule wa "Kifo hakina huruma" wa Remmy.. natafuta siku akiwa anaumwa nami nafungulia muziki kwa sauti ya juu,atajirekebisha tu.
Yeah, wakati anaumwa unafungulia nyimbo za vifo vifo hivi, kama ule wa "Kifo hakina huruma" wa Remmy
Eti??!
Ama kweli dawa ya moto ni moto.
Ningekuwa mimi dawa yao ni kuwa na mziki mkubwa zaidi yao,natafuta siku akiwa anaumwa nami nafungulia muziki kwa sauti ya juu,atajirekebisha tu.
Hahaaaa! Jamaa asijehama mtaa. ataona ziraili keshafika kumchukuwa.Yeah, wakati anaumwa unafungulia nyimbo za vifo vifo hivi, kama ule wa "Kifo hakina huruma" wa Remmy
Pole sana, au labda kuna kitu anakipenda sana na huwa anafanya wakati huo sasa hataki majirani wasikie sauti za nanilii!
Ningekuwa mimi dawa yao ni kuwa na mziki mkubwa zaidi yao,natafuta siku akiwa anaumwa nami nafungulia muziki kwa sauti ya juu,atajirekebisha tu.
Nimeipenda hii mkubwaYeah, wakati anaumwa unafungulia nyimbo za vifo vifo hivi, kama ule wa "Kifo hakina huruma" wa Remmy
Hahah kumbe ni Mdengereko....!!!
Baada ya ulimwengu kuhamia dijitali basi hata wao wamehama kutoka ngoma za "Mdundiko, Segere" nk na kuja kwenye ulimwengu wa kubofya...
Ila hao dawa yao ni moja tu, ongea na vishoka wa mtaani wapige shoti nyumbani kwake, hizo tabu hutazipata tena
Kakodi bendi ipige sebuleni....watazima wenyewe.
Kwa hiyo nanyi mme-embed thread yenu ndani ya hii
Hahaahahahahaaaaaaaaaaaa!!!!! umenifanya nicheke sana , maana umesema ya kweli kabisaaaaaaaaaaaa! yaani hata wanaume zao wanaweka kikao kwa ajili ya kuwatoa wali ndani au shughuli ya kutunzana,ukiingia ndani kwao hata godoro la kulalia hakuna,hawawezi kuweka kikao cha kumsaidia mtoto kafaulu atakwendaje shule. Tena wanafikia kuwaambia watoto wao kuwa hawaoni tofauti ya aliyesoma na wao maana mnaishi wote kwenye nchi hii na hewa ni hii moja.Ukiona kabila ambalo watu wake wako radhi kuandaa ngoma for a millions on money halafu mtoto wao haendi xcul kwa kukosa ADA ujue lina matatizo! kuna mtu aliwahi kuniambia huwezi kukuta Mdengereko tajiri ila huwa wanapata tu nafuu ya maisha! maybe tunaweza kupprove, kaka kazi unayo kwa hao watu! full vijembe