Na ndio maana nimehamia kwangu vyumba 2, sebule, jiko na choo, kiwanja bwelele, kuku, migomba, nazi, mindimu, passion, mipapai, miwa n.k., hamia kwako, hata kuwe kibamba, mbezi, bunju, chanika, bagamoyo etc etc, usiku usingizi wa kufa mtu, usafiri poa tu, adapt..Hama uswahilini, tafuta mahali penye hadhi yako kama huwezi maisha ya uswazi....
Tatizo you are the right person in a wrong place....
Hahah mkuu RaimundoHivi Douta Benny anakuvyokuja kuulizia vitabu vya biology kuna kingine anachoulizia? Maana siyaelewi malalmiko yake hapa.
Kwani mkuu we si unaendaga kuulizia notice tu? Au?
Halafu kuna jamaa hua namcheki tuu..Project project project
Hahaha nani huyo tena?Halafu kuna jamaa hua namcheki tuu..
Hahah nakusanya ushahidi wa kutosha kwanza...Hahaha nani huyo tena?
Hahah sure...
ila project inaweza kuja na mambo 1990's wakati wa ngumi hadharani
HahahahahahHakuna, hii itaishia JF tu. Hata Insta haiendi kusije kukaibuka Team Douta na Team Benny
Hahaha project inabidi ibaki hapahapa!Hakuna, hii itaishia JF tu. Hata Insta haiendi kusije kukaibuka Team Douta na Team Benny
Hahahahahah
Hahaha project inabidi ibaki hapahapa!
Haya DoutaProject project project
Hilo sabatamu la kinyaki nimelipenda