Jirani yangu simuelewi

Jirani yangu simuelewi

Mkuu inawezekana sijakutendea haki. Nilichotaka kusema ni kuwa ungesubiri kwanza sober ikaisha, thena ukamuona mchana , halafu mwabie jioni twende dinner mwabie unachohisi je na yeye hivyo hivyo? laki ukiwa hujanywa. maana inawezekana alidhania kuacha ufunguo pale ulimtegshea halafu ujifanya kumpigia ili akufungulie ucku, naye akajiandaa. kumbe sio lengo lako. Jihoji mwenyewe ukiwa kichwani umekunywa maji ama juice. pole kama nimekukwaza kukupa majibu ya mkato.

Kumbe ukitulia nimadini jamaa ? sasa speed zilikuwa za nini ?
 
Umesema ni usiku wa saa tano ulitegemea awe kavaa vazi gani zaidi ya la kulalia?
Kama umemtamani we fanya mchakato wa kumpata lakini usijipe stress eti umetegwa hapo nakukatalia.

sawa jamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom