Umenipa
kibali na sasa nitamshughulikia cku sio nyingi
Nenda kamshtaki police, amekudhalilisha. Kama ana ushahidi atoe sio lawama tu.
Cku sio nyingi nitaleta ripoti kamili hapa
Nitakuwa nasimamia show kali mwanzo mwisho ili hata jamaa akiletewa dharau iwe ni kwa halali