Jirani yangu kambamba live mume wake na beki 2

Huyu kweli mjinga asee. Ameecha papa halafu anakwenda kula kadagaa? duh!
majitu mengine bana silui yakoje. unaacha sato chumbani kwako unaenda kula sato chumba kingine,tena kwa woga na mashaka. kama sio ujinga sijui nini sasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom