Pilipili usiyoila inakuwashia nini mkuu? Muache na maisha yake maana hata likitokea la kutokea atakaeingia matatizoni ni yeye na si wewe.
Ukimwambia aache huyo mwanafunzi na kesho akakamatwa hudhani wewe ndie utakaekuwa mshukiwa wa kwanza kuwa umemchoma?
Kila mtu na starehe zake as long as hafanyi mambo yake chumbani kwako, hamfanyii ndugu yako na wala habaki maana ni dhahiri huyo binti anakuja kwa ridhaa yake basi na wewe ishi maisha yako.
Kunogesha chezo wewe anza kuingiza walimu kabisa ili mfungue tuition humo ndani.