Jirani yangu anatembea na mwanafunzi!

Jirani yangu anatembea na mwanafunzi!

Mwisho wa siku denti akipata mimba anakutaja wewe ndio mhusika ili abaki na baba mtoto walee mtoto wao mtaani huku wewe ukiwa Segerea.
 
Hauko Tabora Broo maana kama ni Tabora siku akikamatwa mla kuku na ww unayeshuudia akichinja utasukumwa ndan
Hapo ni uchague moja kumchana makavu laivu au kumwambia amwambie awage anakuja na mwanafunzi mwenzake kwa ajl yako ili siku hakimu anakuhukumu iwe ni hukumu ya kweli na ya haki
 
Back
Top Bottom