Jirani yangu anatembea na mwanafunzi!

Jirani yangu anatembea na mwanafunzi!

Itakuwa ni hiyo hiyo "diacussion"
Kuna jirani apa chumba cha pembeni anaingiza mwanafunzi isitoshe mda mwingine anakuja kabisa na sketi ya shule.
Na ikitegemea hii nyumba ina geti so akiingia getini walio nje hawajui kaenda chumba kipi anasababisha hadi mimi naona soo nikiwa nje maana wanaweza kudhani ni mimi alafu nikapata kesi bure.

Nawaza kumwambia jirani aachane na mwanafunzi lisije kutokea balaa apa maana tupo wawili tu apa kwenye hii nyumba.

Na hata mda huu kameshatia timu kapo na begi la shule sijui kamedanganya kanaenda diacussion??
 
Tatizo lako hapo unatamani na wewe,kila mara unajaribu kuwachunguza. Kwa mtindo wa kuwafuatilia siku ikitokea soo unauliza,ksbb unajua utajikanyagakanyaga kutafuta uongo,watakuzoa na wewe. Lakini kifupi ukiachana na hiyo kitu,fanya yako. Utakuwa salama
 
Unafiki wako huo si upo nae apo kama una moyo wa muugwana mwambie cyo kutuambia sisi apa inatusaidia nn
 
Kuwa makini! Kama mpo Tabora Ujue na wewe Utapotea!
Kama anaingia getini na chumbani hamna shida.
Tatizo ni kitu gani wanafanya huko ndani? Kama anamfundisha, siyo tatizo.
Kama anafanya naye mapenzi siyo shida sana.
Ila akimpa mimba ni shida kubwa kidogo.
Wewe jirani huna hatia, maana kama mwenzako atapata kesi, kazi yako ni kuisaidia jamhuri kuileza mahakama ulikuwa unamuona Huyo dent anaelekea wapi?
Na hapo utakuwa unaitwa shahidi namba 2 yaani, Prosecution Witness
number 2,( PW2), shahidi namba 1 yaani PW 1 ni Huyo mwanafunzi, huku mtuhumiwa ni Huyo jirani yako.
Kazi kwako!
 
Watu wasivyo penda kuambiwa ukweli, ukimuambia jamaa anaweza hata kuku mind kwa kufatilia life lake... Lakini pia siku hizi kuna madasa ya mjini yana vaa uniform, kumbe madangaji, utajua unatoka mwanafunzi kumbe kahaba
"Ukimwambia Mtu ukweli anaona unamkejeli!" DARASA
 
Sio mwanafunzi kavaa tu T shirt ya dada ake...alafu jirani acha unoko
 
Huyo jamaa yupo hatarini usidhani kwa sababu hahusiki basi atakuwa hana hatia ila naye anashiriki kwenye huo uovu kwa kukaa kimya na anajua kinachofanyika ni kosa kisheria.
Mkuu una uhakika gani kama anaingia kugongwa au kusoma? Hapo huyu mdau hana prove yoyote juu ya kinachofanyika huko ndani asikurupuke
 
Sawa kabisa mimi ni zao la mama yangu mkuu ni dhahiri sijazaliwa na baba. Kama wewe ulivyo zao la kubakwa kwa mama yako baada ya kulewa na ndio maana mpaka leo humjui baba yako.
Kuwa makini kijana wangu inawezekana unaleta dhihaka kwa moja ya watu wanaokuweka mjini kupitia kumuingilia mama yako kinyume na maumbile ili mpate staftahi hapo nyumbani na visenti vya bundle vya kuja kujifanya 'moral police' hapa jf.
Usighadhibike kijana chaguzi ni ya mama yako hivyo usiitolee hasira kwa wengine.
Wakuu punguzeni ukali wa maneno mnawavua nguo mama zenu.
 
Back
Top Bottom