Jirani yangu anatembea na mwanafunzi!

Nicho North11

Member
Mar 28, 2019
29
45
Kuna jirani apa chumba cha pembeni anaingiza mwanafunzi isitoshe mda mwingine anakuja kabisa na sketi ya shule.
Na ikitegemea hii nyumba ina geti so akiingia getini walio nje hawajui kaenda chumba kipi anasababisha hadi mimi naona soo nikiwa nje maana wanaweza kudhani ni mimi alafu nikapata kesi bure.

Nawaza kumwambia jirani aachane na mwanafunzi lisije kutokea balaa apa maana tupo wawili tu apa kwenye hii nyumba.

Na hata mda huu kameshatia timu kapo na begi la shule sijui kamedanganya kanaenda diacussion??
 
Pilipili usiyoila inakuwashia nini mkuu? Muache na maisha yake maana hata likitokea la kutokea atakaeingia matatizoni ni yeye na si wewe.
Ukimwambia aache huyo mwanafunzi na kesho akakamatwa hudhani wewe ndie utakaekuwa mshukiwa wa kwanza kuwa umemchoma?
Kila mtu na starehe zake as long as hafanyi mambo yake chumbani kwako, hamfanyii ndugu yako na wala habaki maana ni dhahiri huyo binti anakuja kwa ridhaa yake basi na wewe ishi maisha yako.
Kunogesha chezo wewe anza kuingiza walimu kabisa ili mfungue tuition humo ndani.
 
Kwani kwenye mtaa unao ishi hakuna balozi au kwann kama kweli ww ni muungwana hujatoa ripoti police?
 
Kaka toa taarifa mapema na unaweza ukaibukia hapo hapo, ukashangaa Magufuli akiipata anakupa ajira kwa uzalendo.
Fanya hima huyu mharibifu akomeshwe.
 
Pilipili usiyoila inakuwashia nini mkuu? Muache na maisha yake maana hata likitokea la kutokea atakaeingia matatizoni ni yeye na si wewe.
Ukimwambia aache huyo mwanafunzi na kesho akakamatwa hudhani wewe ndie utakaekuwa mshukiwa wa kwanza kuwa umemchoma?
Kila mtu na starehe zake as long as hafanyi mambo yake chumbani kwako, hamfanyii ndugu yako na wala habaki maana ni dhahiri huyo binti anakuja kwa ridhaa yake basi na wewe ishi maisha yako.
Kunogesha chezo wewe anza kuingiza walimu kabisa ili mfungue tuition humo ndani.

Au jamaa ni mwalimu wa tuition ?
 
Kama anaingia getini na chumbani hamna shida.
Tatizo ni kitu gani wanafanya huko ndani? Kama anamfundisha, siyo tatizo.
Kama anafanya naye mapenzi siyo shida sana.
Ila akimpa mimba ni shida kubwa kidogo.
Wewe jirani huna hatia, maana kama mwenzako atapata kesi, kazi yako ni kuisaidia jamhuri kuileza mahakama ulikuwa unamuona Huyo dent anaelekea wapi?
Na hapo utakuwa unaitwa shahidi namba 2 yaani, Prosecution Witness
number 2,( PW2), shahidi namba 1 yaani PW 1 ni Huyo mwanafunzi, huku mtuhumiwa ni Huyo jirani yako.
Kazi kwako!
 
Pilipili usiyoila inakuwashia nini mkuu? Muache na maisha yake maana hata likitokea la kutokea atakaeingia matatizoni ni yeye na si wewe.
Ukimwambia aache huyo mwanafunzi na kesho akakamatwa hudhani wewe ndie utakaekuwa mshukiwa wa kwanza kuwa umemchoma?
Kila mtu na starehe zake as long as hafanyi mambo yake chumbani kwako, hamfanyii ndugu yako na wala habaki maana ni dhahiri huyo binti anakuja kwa ridhaa yake basi na wewe ishi maisha yako.
Kunogesha chezo wewe anza kuingiza walimu kabisa ili mfungue tuition humo ndani.
ushauri wa kibabe.
 
  • Thanks
Reactions: xox

Huyo jamaa yupo hatarini usidhani kwa sababu hahusiki basi atakuwa hana hatia ila naye anashiriki kwenye huo uovu kwa kukaa kimya na anajua kinachofanyika ni kosa kisheria.
 
Mtoto kishakua huyo wacha atumikie ukubwa wake, hapo labda umwambie mwana huyo demu wake asiwe anakuja na nguo za shule magetoni pia azingatie muda mtoto anaokuja usiwe wa masomo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom