Nicho North11
Member
- Mar 28, 2019
- 29
- 46
- Thread starter
- #21
Kwani kwenye mtaa unao ishi hakuna balozi au kwann kama kweli ww ni muungwana hujatoa ripoti police?
So nimchome mwana.. naona kumweleza kwanza ni busara
Kwani kwenye mtaa unao ishi hakuna balozi au kwann kama kweli ww ni muungwana hujatoa ripoti police?
Acheni kutishana hapa. Hatari gani aliyokuwemo? Yani mbo.o ya mwingine ikamtie yeye hatiani. Anaefanya hilo tendo analifanyia chumbani kwake hivyo muanzisha uzi ana uwezo wa kusema kuwa alidhani ni ndugu yake.Huyo jamaa yupo hatarini usidhani kwa sababu hahusiki basi atakuwa hana hatia ila naye anashiriki kwenye huo uovu kwa kukaa kimya na anajua kinachofanyika ni kosa kisheria.
Itakuwa anaona hela inapelekwa kwa jamaa kuongezea kununua kiepe yai kabla ya kumkunja denti.Au jamaa ni mwalimu wa tuition ?
Ningeshagaa kama ungekuwa na ufahamu timilifu.Acheni kutishana hapa. Hatari gani aliyokuwemo? Yani mbo.o ya mwingine ikamtie yeye hatiani. Anaefanya hilo tendo analifanyia chumbani kwake hivyo muanzisha uzi ana uwezo wa kusema kuwa alidhani ni ndugu yake.
Akijitia sana ujuaji anaweza ingia matatani kwa kuingilia faragha za watu. Afanye yake tu.
Mtumie sms kupitia namba mpya muambie AMEJIANANDAA KUISHI JELA MIAKA 30.Kuna jirani apa chumba cha pembeni anaingiza mwanafunzi isitoshe mda mwingine anakuja kabisa na sketi ya shule.
Na ikitegemea hii nyumba ina geti so akiingia getini walio nje hawajui kaenda chumba kipi anasababisha hadi mimi naona soo nikiwa nje maana wanaweza kudhani ni mimi alafu nikapata kesi bure.
Nawaza kumwambia jirani aachane na mwanafunzi lisije kutokea balaa apa maana tupo wawili tu apa kwenye hii nyumba.
Na hata mda huu kameshatia timu kapo na begi la shule sijui kamedanganya kanaenda diacussion??
Mkuu acha wivu, huenda ni ndugu yake,anakuja kuchukua ada ama anakuja kumsaidia kudeki kisha anamfundisha hisabati!Kuna jirani apa chumba cha pembeni anaingiza mwanafunzi isitoshe mda mwingine anakuja kabisa na sketi ya shule.
Na ikitegemea hii nyumba ina geti so akiingia getini walio nje hawajui kaenda chumba kipi anasababisha hadi mimi naona soo nikiwa nje maana wanaweza kudhani ni mimi alafu nikapata kesi bure.
Nawaza kumwambia jirani aachane na mwanafunzi lisije kutokea balaa apa maana tupo wawili tu apa kwenye hii nyumba.
Na hata mda huu kameshatia timu kapo na begi la shule sijui kamedanganya kanaenda diacussion??
Inawezekana nikawa sina ufahamu timilifu kwa mujibu wa uelewa wako wa ufahamu kuwa shawishi kufuatilia maisha ya watu yasiyokuhusu.Ningeshagaa kama ungekuwa na ufahamu timilifu.
wewe ni zao la mama yako huwenda mama yako alikuwa na vitabia hivi vya kubebwa na vidume enzi za usomaji wake ndiyo maana akafeli na kuzaa kuku.Inawezekana nikawa sina ufahamu timilifu kwa mujibu wa uelewa wako wa ufahamu kuwa shawishi kufuatilia maisha ya watu yasiyokuhusu.
Design yako itakuwa ndio wale mnaoshinda vidirishani kuangalia nani anatembea na nani ili kuleta kupeleka umbea kwa wahusika halafu mkimaliza hapo mnaenda kukunja housegal wa shemeji zenu wenye miaka 13.
Sawa kabisa mimi ni zao la mama yangu mkuu ni dhahiri sijazaliwa na baba. Kama wewe ulivyo zao la kubakwa kwa mama yako baada ya kulewa na ndio maana mpaka leo humjui baba yako.wewe ni zao la mama yako huwenda mama yako alikuwa na vitabia hivi vya kubebwa na vidume enzi za usomaji wake ndiyo maana akafeli na kuzaa kuku.
Uliwahi kumsikia mkuu wa mkoa wa Tabora alichowahi kusema, kuanza muhusika mkuu mpaka aliyewauzia mchele atawasweka ndani, bahati yao mkulima na aliyekoboa mpunga.Kuna jirani apa chumba cha pembeni anaingiza mwanafunzi isitoshe mda mwingine anakuja kabisa na sketi ya shule.