Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

Nyie wanaume wa humu, kinachoshangaza ni nini? Mnadhani mkishaoa mnazuia wasitongozwe na wengine? Omba mke ajitambue. Atambue thamani yake. Kutongozwa sio dhambi wapendwa. Ni lazima kila anayemtongoza akwambie? Anyway, ongea na mkeo kwa namna ambayo si ya kumshutumu wala kumtuhumu ( in a friendly way)
Point
 
aisee huyu jamaa ananitafutia matatizo kiukweli nikithibitusha namtoa roho
Acha ujinga ww kwani akipiga mzigo utakuta imeeisha ?
Kuna mtt Huyo mwanaidi anatakiwa aende Shule, ale na maisha mengine yaendelee sasa ukiua unazani hayo majukumu yako utamwachia nani na vyuma vinazidi kukaza (kila m1 abebe majukumu yake hasa kwenye kulea )

Hayo mambo hayana solutions kama utakua na hasira
 
Sio kweli.hata ukiangalia wanaoishi maisha marefu hawana wake
Nimewahi kuona wazee wa miaka 80 hivi mke na mume wakifuatana kufa. Mmoja kafa wiki hii na mwingine kafuatia wiki iliyofuata, walipendana sana na majirani walijua hivyo.

Vv
 
Ushauri:- mkeo ndio anacho jamaa anachotaka. Ebu deal na mkeo acha kumfata jamaa huwez kujua labda mkeo ndio anamtaka.
Wazo zuri aisee maana kama kuna wanawake huwa wanatupiga za mbavu tunapowatokea hivyo hata yeye hana sababu ya ku-deal na mtongozaji kwani si kila anaetongoza anapata vinginevyo ajenge tu nyumba faster maana hiyo ni changamoto ya nyumba za kupanga na mabachela
 
Pole mkuu, inaonekana umekuwa mhanga wa mahusiano na ndoa zisizo na ushuhuda mwema.

Vv
Hapa sshv niko baa.jana usiku niliwahi kulala!lakini usiku wa manane nikaamshwa na makelele ya wife kwamba naota niko na madem wangu!matusi huku mi nna wenge la usingizi sijui niliota nini hadi yeye ahisi kweli ndotoni nilikuwa na dem mwingine!kanirusha stimu kinoma ikabid saa 12 asubuhi niamke kitandani niingie bar na kula munde tu
 
Pole sana. Hiyo sio sababu ya ku-generalize kuwa ndoa zote ziko hivyo.

Vv
 
Tafta vifaa vya kuhasi then mhasi Huyo jamaa ili hata Kama uende ulaya mkeo awe salama salmini fanyia kaz ushaur Wangu mtu katoa mahari then mwingne anataka abebwe tu juu kwa juu alaaa
 
Nimesoma michango ya wadau, wengi wameshauri ufanye uchunguzi ujiridhishe. Kwa maoni yangu usifanye hivyo naamini madhara yake kama utakuta ni kweli basi yatakua makubwa sana kwenye nafsi yako na kamwe hayata tibika.

Silaha kuu kwenye mapenzi ni kuaminiana na kamwe si kulindana kwa kuchunguzana.

Kama umehisi imani imepotea kwako basi fanya maamuzi sasa na wala usichunguze. Kama ilikua kweli au si kweli mkeo ataeleza mwenyewe bila kumuuliza ila utakua salama kwenye nafsi yako na hata kama atakudanganya ni bora maana hutakua na kidonda moyoni mwako.

Usithubuti kufanya mipango ya kufumania hata kama utaamua kumuacha mkeo. Kitendo hicho hakitakuja kufutika maishani mwako kamwe na kitaendelea kukuuma milele.

Hatua za kuchukua;
1. Kata mapenzi kwake ila usimnyime matumizi.
2. Ukiona hajali khs hatua hiyo, muache kwa muda. Muondoe au ondoka.
3. Akiendelea kukomaa, Anza kumsahau na tafuta mwingine.

Hakikisha hatua hizo hapo juu unawashirikisha ndugu pia na unapoongea nao usiseme umehisi ila una uhakika anatembea na jirani yako. Kazi ya kuthibitisha na kukanusha waachie wao na mkeo waicheze, wewe usishiriki.

Mpaka hapo utaona mbivu na mbichi ila kama bado unampenda sana mkeo basi usuruhisho utakaopatikana katika hatua yeyote hapo juu utaleta maana na hata kama utadanganywa lakini itakua afya kwako na upendo unaweza kurudi. Naamini kama alikua anafanya au dalili za kutaka kufanya basi hata rudia.

Kumbuka ukielezea hisia zako na ilikuwaje mpaka ukahisi hivyo utakua umeanika mbinu zako na unaweza kuonekana ni dhaifu au hujabaini mipango yao ila unahisi tu.

Kuchukua maamuzi bila kutaja mbinu zako zitakusaidia usijulikane uwezo wako na itamfanya mkeo awe muoga kurudia maana hajui unapataje taarifa. Amini baada ya hapo hata inzi tu akimgusa tako atakwambia kujihami maana labda umeishajua.
 
nitajaribu kufanya kama ulivyonielekeza
 
Back
Top Bottom