Jirani Naye!!!!

Jirani Naye!!!!

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,135
shangigi%20logo.png
 
Hivi hili neno lilitokea wapi..? origin yake ni nini? isije ikawa sisi ndio tulilichakachua na tukaliharibu
 
Hivi hili neno lilitokea wapi..? origin yake ni nini? isije ikawa sisi ndio tulilichakachua na tukaliharibu

Ni neno la kiswahili corrupt lililotokana na kushangaa.....wanawake wenye maumbile yakuvutiavutia miaka ya 1988-1992 watu walikuwa wakiwashangaa sahangaa(wakishangingi) hivyo wakaitwa mashangingi(kabla walikuwa pashkuna,wowowoo etc)...wabunge wetu walipoanza utukufu mwaka 1990 Mzee Mwinyi aliwakopesha LandCruisers (TZC 90xx) na hivyo watu waliyaita MASHANGINGI sambamba na PAJERO kufananishwa na noti ya 500 ambayo ilitoka 1988 na ndiyo ilikuwa kubwa(hakukuwa na 1,000 2,000 5,000 wala 10,000 wakati huo) ilipokuja 1,000 ikaitwa BUKU kwa kuwa ilibidi ukusanye noti za 100 kumi kama kitabu upate hiyo alfu.
 
Ni neno la kiswahili <i>corrupt</i> lililotokana na kushangaa.....wanawake wenye maumbile yakuvutiavutia miaka ya 1988-1992 watu walikuwa wakiwashangaa sahangaa(<i>wakishangingi</i>) hivyo wakaitwa mashangingi(kabla walikuwa pashkuna,wowowoo etc)...wabunge wetu walipoanza utukufu mwaka 1990 Mzee Mwinyi aliwakopesha LandCruisers (TZC 90xx) na hivyo watu waliyaita MASHANGINGI sambamba na PAJERO kufananishwa na noti ya 500 ambayo ilitoka 1988 na ndiyo ilikuwa kubwa(hakukuwa na 1,000 2,000 5,000 wala 10,000 wakati huo) ilipokuja 1,000 ikaitwa BUKU kwa kuwa ilibidi ukusanye noti za 100 kumi kama kitabu upate hiyo alfu.
<br />
<br />
Yu masti bi jiniasi.
 
Back
Top Bottom