Jirani abambwa na mkewe akilawitiwa

hehehe hapo buluu hapo, kuna lishoga limoja liko huku kijijini lina kifua kama dari ya ukumbini , haki ya nani huwezi kuamini kama jamaa wanalikoromea , kuna siku liliibiwa viatu vyake lilitembeza mkong'oto karibia kitaa kizima.

Kuna jingine huku mjini kifua kama meza ya kamari, ni balaa, ukimwangalia unapita nae mbali. Kumbe wanalipumulia
 
Jana usiku mida ya saa 3 na nusu usiku tulisikia yowe likitokea nyumba ya jirani tukadhani wamevamiwa na wezi tukatoka kwenda kusaidia,kufika huko tukakuta mama mmoja jirani yetu akipiga kelele kwa sauti nje ya nyumba yao lakini hatujaona wezi wala watu wengine. Baada ya muda wakumtuliza akatusimulia kuwa mumewe kwenye saa 3 kasorobo alimuaga anaenda kuangalia mpira nyumba ya jirani ambayo wana TV kubwa,baada ya muda mama akakumbuka hajaanua nguo uwani akatoka kwenda kuzichukua.Ile kuzunguka nyumba tu anakuta kuna mwanamme kainama na mwingine yuko nyuma yake anamshugulikia, kuangalia vizuri akaona wa mbele ni mumewe na huyu wa nyuma ni kijana mmoja wa mtaani.Akapiga yowe wakakimbia na kuruka ukuta wa nyuma.Mume mpaka sasa hajulikani alipo na ni bonge la mtu futi 6 na inchi kadhaa lililo shiba sipati picha walianzaje.Hivi mtu hata kama una tabia hii ndio ufanya nyumbani kwako.Jamaa ana kazi nzuri na mkewe anasema hajaona tofauti yoyote na wana mtoto mmoja wa miaka 2.

Alikuwa anacharge battery.
 
jamani hii mbona laana.... nina rafiki yangu mmoja yalimpata haya ikabidi aombe talaka na walifunga ndoa kanisani....hivi hii inasababishwa na nini? najaribu kujiweka nafasi ya huyo mwanamke sipati picha
Kwa nini amkimbie ubavu wake wa pili?? kwani yeye alikuwa hatimiziwi haja zake??? ikumbukwe aliapa mbele ya kasisi kuwa watakuwa pamoja kene shida na raha, so hiyo ndio shida yenyewe sasa anadai talaka ya kazi gani??
 
Kwa nini amkimbie ubavu wake wa pili?? kwani yeye alikuwa hatimiziwi haja zake??? ikumbukwe aliapa mbele ya kasisi kuwa watakuwa pamoja kene shida na raha, so hiyo ndio shida yenyewe sasa anadai talaka ya kazi gani??

Khaaaaaa......😧😧
 
Back
Top Bottom