Jipya lajitokeza-ndege ya malaysia

Jipya lajitokeza-ndege ya malaysia

True story: kuna mshkaji Mmalaysia alimuga mkewee anaenda China. Mke akamsindikiza hadi airport, kumbe jamaa kaingia na kutoka kisha akazama kwa mchepuko. Sasa jamaa amenasa kwenye apartment ya mchepuko hawezi kutoka maana ndege aliyoaga anasafiri nayo ndio ile iliyopotea

Hongera na hadithi ya kutunga
 
Back
Top Bottom