Jipya lajitokeza-ndege ya malaysia

Jipya lajitokeza-ndege ya malaysia

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
399
True story: kuna mshkaji Mmalaysia alimuga mkewee anaenda China. Mke akamsindikiza hadi airport, kumbe jamaa kaingia na kutoka kisha akazama kwa mchepuko. Sasa jamaa amenasa kwenye apartment ya mchepuko hawezi kutoka maana ndege aliyoaga anasafiri nayo ndio ile iliyopotea
 
Haa haya majanga. Cc Elli
 
Last edited by a moderator:
Mkuuu hiyo kamba.. but michepuko so deal! Tatizo litakuw kwa governmnt so mkewe
 
mwache yy c anajfanya ana akil ndo aztumie tena auone mzik wake!
 
Ongeza juhudi za maombi dear wangu, hapa tuko chini ya bahari tunajadiliana tutaibukaje asee...dah!

Hiki ki mimba kilivyokuchukia natamani upotelee huko huko,,,,,, kimempenda Elli kila saa namuwaza.
 
Last edited by a moderator:
Mhhh duh vp kuhusu ile manifest ya abiria waliosafiri against waliobaki/ku cancel trip zao?
 
Lol Mungu anipe nini tena mie??? Hakuna raha kama kulea mimba isiyo yako

Lunch mtoto anataka chicken pilipili na dompo usiku atashushia juice ile mixed fruit. usisahau kupitia ubuyu na machungwa.
 
Back
Top Bottom