Jipu la utapeli Chuo Kikuu Dar (UDSM)

Hivi mnasoma kweli maelezo ya mhusika mkaelewa? Bora kutokukomenti tukakuona una busara kuliko kuongea usichokielewa ukaonekana mpuuzi.
 
Watu wengine buana,hivi huko BICO ulifuata mashine au ulifuata rist?,maana mashine uliletewa ukaikataa na hela ukarudishiwa,sasa kinachokufanya upige kelele ni nini?,nyie ndio huwa mnarogwa mnaanza kusumbua ndugu zenu kuwapeleka kwa waganga
Dai risiti kwa maendeleo ya nchi yako. Acha ufisadi
 
Hivi mnaelewa kinachoandikwa kweli? Upo nje na kilichosemwa. Don't rush to comment something you don't understand
 
Kama kaonewa basi atangulie yeye Wadelanga huko unakosema. Hapa ndiyo sehemu sahihi.
 
Ha ha kweli mawazo huru. Kwan ata miapia nakuhurumia unaepiga by-pass afu ukilizwa unalalamika. Hivi walimu ndo huwawandisha watukutofata utaratibu. Huyo mwalimu akikufundisha hivo atakuwa taira na punguwan
Bado mwalimu wako alikuwa na kazi nzito. Kiswahili ulipata ngapi vile?!
 
Kwa Intelijensia ndogo tu, kubwa la maadui ni Ibilisi.

Kama hujaelewa usiniquote waka kulike coz nko kwenye mood ya kutukana rafik yangu

Utakoma na roho yako ukijaribu

Mwisho lakin si kwa umuhimu, pole zainab na mumeo. Wazalendo tuko wachache sana. Wengine mpaka washakata tamaa. Ila wabapata moyo kutokana na watu kama nyie.

Dili sio mwenendo tu, sasa kasumba. Kila mmoja anataka share take mapema. Chanzo nn? Dili tu.
Kaajiriwa muda kidogo mara gari hii hapa kannua, mara nyumba ile, viwanja vyote hapa town anatia saini daily..bata batani. Chanzo dili, na dili hazitak risiti rafiki yangu

Polen wazalendo wote.
 
Wazalendo tupo achache sana ndio tatizo la Tz yetu.
Yaani hayo ndiyo yanayotokea ktk taasisi za uma na inaonekana kawaida tu.
Hapo kuna vitu watu hawavioni kwamba kwa kuwa mashine zilikua tayari mngechukua wakati unalalamika hapa mradi ungekua unaendelea kama kawaida.
Mamlaka husika zingeenda kufanya uchunguzi lakini nyie mnaingiza chenu.

Muda mliotumia na garama na hela ikashikiliwa na hao jamaa muda wote ungekopesha kwa riba ingezaa.

Nimtazamo tu hongera kwa uzalendo
 
Sasa kama wewe sio Mtanzania ina maana hii mada kiasi flani haikuhusu, utapeli haukubaliki. jitahidi kusoma habari yote uielewe utapata majibu tu, msilaumiane hapa. huyo mama nadhani hajakosea kuileta mada hapa JF
Kwani chuo kikuu cha dar ni watanzania tu wanasoma???. Au mnapo enda ulaya mnakuwa na nyie wa ulaya???. Eboo!!!!
 
Me hapo sioni la maana unadai risiti wakati machine unakabidhiwa tena kwa discount what for?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…