Jipatie waleti za culture za kike

Jipatie waleti za culture za kike

I and myself

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
328
Reaction score
326
Tunauza waleti za culture za kina dada kwa jumla na rejareja.. jumla shilingi 10,000 kuanzia pic10, na rejareja elfu 15,000 pia waweza like/kutembelea page yetu ya Free slave curio shop.. au tupigie 0754660061
 

Attachments

  • 1451734655569.jpg
    1451734655569.jpg
    95.7 KB · Views: 57
Je nikitaka tano kwa elfu nane hailipi?nawashauri il uwe na mzunguko mkubwa wa biashara,watu wakihitaji hata moja au mbili muwauzie kama wanavyofanya jamaa wa sandals za kimasai dar es salaam.Mawazo yangu si lazima mzingatie
 
Asante kwa ushauri wako ndugu ila huwa tunauza hata moja moja kwa mtu anayehitaji.. tano kwa elfu nane hailipi ndugu.. pia unaweza ku like/kutembelea page yetu facebook inayoitwa free slave curio shop and boutique kuona bidhaa zetu nyingine zaidi
 
Back
Top Bottom