Massenge1
New Member
- Nov 3, 2025
- 3
- 4
Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako.
Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na inayofaa kwa maeneo mengi ya Tanzania.
🍊 Miche ya Matunda (Kuanzia TSh 2,500 tu!)
Aina zinazopatikana sasa:
🥬 Miche ya Mboga Mboga (TSh 100 tu kwa kila mche!)
Inapatikana kwa wingi:
Tunapatikana Morogoro, tunatuma miche mikoa yote Tanzania
📞0768976007/ 0779411502
Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na inayofaa kwa maeneo mengi ya Tanzania.
🍊 Miche ya Matunda (Kuanzia TSh 2,500 tu!)
Aina zinazopatikana sasa:
- Embe
- Parachichi
- Papai
- Chungwa
- Limao
- Ndimu
- Chenza n.k
🥬 Miche ya Mboga Mboga (TSh 100 tu kwa kila mche!)
Inapatikana kwa wingi:
- Nyanya
- Hoho
- Pilipili mwendokasi
- Biringanya
- Nyanya chungu
- Ubora wa miche ni wa kiwango cha juu - Gharama rafiki
- Ushauri wa kilimo unapatikana bila malipo
- Tunatuma popote ulipo Tanzania
Tunapatikana Morogoro, tunatuma miche mikoa yote Tanzania
📞0768976007/ 0779411502