Jionee mchanganuo mbashara wa deni la HESLB

Jionee mchanganuo mbashara wa deni la HESLB

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,182

MCHANGANUO MUBASHARA WA DENI LA MKOPO WA ELIMU YA JUU (HESLB) WA KATIBU MWENEZI MTARAJIWA WA CHAUMA
NDUGU @Seneta_Wa_Mtwiz:

Tuition Fee: 780,000 × 3 years = 2,340,000/=

Meals & Accommodation (Boom): 1,800,000 (1 year) × 3 years = 5,400,000/=

Field Allowance: 620,000 × 2 years = 1,240,000/=

Stationery: 200,000 × 3 years = 600,000/=
+
Blah!Blah! Zingine:

TOTAL: 9,580,000/=

MAKADIRIO: 10,000,000/=
----------------------------------------
----------------------------------------

MSHAHARA WANGU KABLA YA MAKATO:
Ni 165,450/= @ Mwezi
(Kwa maneno: Laki moja sitini na tano elfu na mia nne na hamsini TZS).

NI KWA NIA NJEMA TU,
NA SI VINGINEVYO!
 
Na wale ambao ada ni million mbona ni shida sasa.
 
Mmmh huyo mshahara uliotaja ni wa mtu wa degree gani... ht certificate halipwi hivyo ndg hebu kuwa mkweli
 
MD ni grant


Kuna mshkaji wangu kasoma MD KCMC,bili yake imesoma around 45 milioni mkuu kwa kuwa chuo chake ada yao ni ndefu,ukijumlisha na mazagazaga mengine ndio hesabu imekuja hivyo,majanga sana mkuu,hivyo MD sio grant mkuu,na wenyewe wanalipishwa kama kawa
 
Aisee hapo ndipo unatamani ungesoma bila mkopo, nikikumbuka ile migomo na maandamano nacheka tu.
 
Mmmh huyo mshahara uliotaja ni wa mtu wa degree gani... ht certificate halipwi hivyo ndg hebu kuwa mkweli
Inawezekana kiasi hicho ndicho anachochukua nyumbani baada ya makato mengine kama vile kodi,bima,mkopo kama amekopa..ni hii ni kutokana na mshahara wa kuanzia kwa mtu wa shahada serikali ni.Kama sio hivyo kuna ulakini kwenye kiwango hicho.
 
Back
Top Bottom