Jionee mchanganuo mbashara wa deni la HESLB

Jionee mchanganuo mbashara wa deni la HESLB

[emoji121]
MCHANGANUO MUBASHARA WA DENI LA MKOPO WA ELIMU YA JUU (HESLB) WA KATIBU MWENEZI MTARAJIWA WA CHAUMA
NDUGU @Seneta_Wa_Mtwiz:

Tuition Fee: 780,000 × 3 years = 2,340,000/=

Meals & Accommodation (Boom): 1,800,000 (1 year) × 3 years = 5,400,000/=

Field Allowance: 620,000 × 2 years = 1,240,000/=

Stationery: 200,000 × 3 years = 600,000/=
+
Blah!Blah! Zingine:

TOTAL: 9,580,000/=

MAKADIRIO: 10,000,000/=
----------------------------------------
----------------------------------------

MSHAHARA WANGU KABLA YA MAKATO:
Ni 165,450/= @ Mwezi
(Kwa maneno: Laki moja sitini na tano elfu na mia nne na hamsini TZS).

NI KWA NIA NJEMA TU,
NA SI VINGINEVYO!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Mmmm na 18% kila mahali kweli watanzania woteee wezi huyu jamaa anawezaje ishi mjin na salary hiyo ? asee hebu tueleze siri ya kuishi kishaitwan shatwani

au ni USD jombaa

Hapo kodi , umeme , maji , usafiri , mavazi , mtoto hajakohoa , mke hajataka kusuka mmmm
 
Serikalini hamna mtumishi anaepokea Mshahara wa Tshs 165,450. Haijalishi kada gani, taasisi gani, hakuna huo mshahara!
 
hapo mbona sioni penalt,,time value of money,,second penalt..unacheza,,inshort ni double hiyo amount shosti
 
Mkuu mbona hilo siyo deni kabisa? Watu tunadaiwa HESLB milioni sitini (60,000,000/=Tsh) na bado tume cool. Niliposikia deni la mwenzangu aliyeenda kusomea Urusi, niliona kumbe deni langu siyo kitu kabisa.
Mi nilikuwa nalialia hapa ofisini! Mshikaji umesoma nae Moscow Nadhani, akanivuta pembeni. Akanambia acha kulia lia mtoto wa kiume, Mi nimesoma Moscow, HESLB wananidai m70+ na nimepiga kimya! Hili deni haliishi labda wanikate nikiwa kaburini.
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Huyu jamaa huenda analipwa hiyo pesa kweli ila si ajia rasmi ya serikali au private, nadhani atakuwa amejishikiza kwa mtu au taasisi fulani inampa hiyo hela kama posho. Lakini ukweli ni kwamba hata kama unalipwa milioni na nusu bado kazi unayo. SOCIAL SECURIY 10% + BODY YA MKOPO 15%, BIMA YA AFYA 4% TOTAL ALMOST 30%X1500000=450000 (STATUTORY DEDUCTIONS). BAKI 1050000 HALAFU KODI ZINAFUATA 1050000-720000=330000X30%=99000. MSHAHARA WA 720000 HUKATWA KODI 180000 NA KWA KILA KINACHOZIDI HAPO HUKATWA 30% . JUMLA YA KODI HAPO NI 180000+99000=279000. JUMLA YA MAKATO 279000+450000= 729000, TAKE HOME HALISI ITAKUWA 1500000-729000=771000. KAMA NITAKUWA NIMEKOSEA NIKO TAYARI KUKOSOLEWA.
Mshahara huwa unakatwa kodi baada ya kutoa Social Security tu! Siyo baada ya kutoa na NHIF, HESLB n.k
 
Mshahara huwa unakatwa kodi baada ya kutoa Social Security tu! Siyo baada ya kutoa na NHIF, HESLB n.k

Kaka umesoma sheria mpya ya bodi ya mikopo baada ya marekebisho yaliyopitishwa na bunge hili lililoisha?. Sheria inasema hivi loans beneficiaries wote watakatwa 15% ya mshahara wao na makato hayo yatakuwa STATUTORY DEDUCTIONS AND SHALL BE DEDUCTED BEFORE NONE STATUTORY DEDUCTIONS. TAFUTA SHERIA USOME MAANA UKO GIZANI BADO MKUU, KUHUSU NHIF HUENDA UKO SAWA.
 
Mi mkuu nilikoposhwa semista ya kwanza nikachange coz ila waligoma kunihamishia mkopo anyway nashukr deni langu limebak la semister moja1! arround 1;400;000
 
Mkuu mimi nadaiwa pamoja na penalty ya mwaka mmoja 13m yaani hiyo ntailipa miaka 30 nikifa wakaweke pingu kaburini kwangu tu hakuna namna
 
Ila mkuu kwa huo mshahara embu wah kijijini kwenu ukalime mapori yamejaa sasa huo ni mshahara sawa na allowance ya night yangu nnayolipwa huku safarini nliko
 
Mmmh huyo mshahara uliotaja ni wa mtu wa degree gani...[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32] ht certificate halipwi hivyo ndg hebu kuwa mkweli
Inategemea labda anafanya kazi kwa mhindi unategemea nini tena.
 
Kama mshahara wako kwa mwezi ni Shs 155,000 basi ulipoteza muda wako kwenda kusoma.
Inategemea aisee labda ndo kajishikisha huku akitafuta kazi nyingine,kuna rafiki yangu graduate kutokana na ajira kuwa tight kajishikisha K.KOO kwa duka la mpemba elimu kaweka pembeni anakula 80 kwa mwezi nauli na msosi ni juu ya boss,na jina lake limetoka kwenye wadaiwa sugu,sasa akianza kulipa kabla hajapata ajira nyingine unategemea itakuwaje? Hiyo mishahara ipo tu inategemea huyo mtu kajibanza wapi!
 
Bora mie niliekomaa kusoma kwa shida sana kubanana na mzee tu nikamaliza japo kwa maumivu lkn sasa ninachopata ni changu ukiondoa makato ya kawaida.
 
Serikalini hamna mtumishi anaepokea Mshahara wa Tshs 165,450. Haijalishi kada gani, taasisi gani, hakuna huo mshahara!
Kwani kila aliyeajiriwa tz ni serikalini tu? Serikali yenyewe ina uwezo wa kuajiri watu wangapi?
 
Kwani kila aliyeajiriwa tz ni serikalini tu? Serikali yenyewe ina uwezo wa kuajiri watu wangapi?
Serikali inapotangaza kima cha chini manake hata sector binafsi lazima estate. Mshahara Tshs 165, 450 hata kima cha chini cha Serikalini sio hicho.
 
Serikali inapotangaza kima cha chini manake hata sector binafsi lazima estate. Mshahara Tshs 165, 450 hata kima cha chini cha Serikalini sio hicho.
Labda anafanya kazi ambayo sio professional wala sio ya elimu ya degree kwenye private sectors, na HESLB wanakudai hata kama hauna ajira.
 
Kaka umesoma sheria mpya ya bodi ya mikopo baada ya marekebisho yaliyopitishwa na bunge hili lililoisha?. Sheria inasema hivi loans beneficiaries wote watakatwa 15% ya mshahara wao na makato hayo yatakuwa STATUTORY DEDUCTIONS AND SHALL BE DEDUCTED BEFORE NONE STATUTORY DEDUCTIONS. TAFUTA SHERIA USOME MAANA UKO GIZANI BADO MKUU, KUHUSU NHIF HUENDA UKO SAWA.
Asante kwa taarifa, ngoja niitafute nisome
 
Kuna wengine hawakatiki kutokana na ile theluthi mbili!
You will not imagine when yo imagine unaitwa mdaiwa sugu mshahara umejaa virus(mikopo mfano NMB,CRDB,Blue finance,Bayport,Lethshego(Faidika),Maboto)halafu mshahara unasoma subsistence allowance yaani hela ya kujikimu kwa mwezi halafu unapewa taarifa kuwa hslb wanataka kuingia na kirusi cha trojan 15℅
 
Back
Top Bottom