Jionee mchanganuo mbashara wa deni la HESLB

Jionee mchanganuo mbashara wa deni la HESLB

Tutakufatilia kama unajenga utatueleza pesa unatowa wapi kwa mshahara huo.
 
Kama mshahara wako kwa mwezi ni Shs 155,000 basi ulipoteza muda wako kwenda kusoma.
 
Inawezekana kiasi hicho ndicho anachochukua nyumbani baada ya makato mengine kama vile kodi,bima,mkopo kama amekopa..ni hii ni kutokana na mshahara wa kuanzia kwa mtu wa shahada serikali ni.Kama sio hivyo kuna ulakini kwenye kiwango hicho.
Yeye kasema kabla ya makato anapewa hiyo kweliii...mmhhh
 
MCHANGANUO MUBASHARA WA DENI LA MKOPO WA ELIMU YA JUU (HESLB) WA KATIBU MWENEZI MTARAJIWA WA CHAUMA
NDUGU @Seneta_Wa_Mtwiz:

Tuition Fee: 780,000 × 3 years = 2,340,000/=

Meals & Accommodation (Boom): 1,800,000 (1 year) × 3 years = 5,400,000/=

Field Allowance: 620,000 × 2 years = 1,240,000/=

Stationery: 200,000 × 3 years = 600,000/=
+
Blah!Blah! Zingine:

TOTAL: 9,580,000/=

MAKADIRIO: 10,000,000/=
----------------------------------------
----------------------------------------

MSHAHARA WANGU KABLA YA MAKATO:
Ni 155,450/= @ Mwezi
(Kwa maneno: Laki moja sitini na tano elfu na mia nne na hamsini TZS).

NI KWA NIA NJEMA TU,
NA SI VINGINEVYO!
hapo bado hujaoa mdaiwa
 
Mdogo wangu ndio kaanza first yr,2020 atakuta rais ni lowasa kwa hiyo itakuwa fresh
 
Kama mshahara wako kwa mwezi ni Shs 155,000 basi ulipoteza muda wako kwenda kusoma.
Bora angeishia la nne....mana ht muuza genge kwa mwezi hiyo ni ndg sana kwake
 
Mbona kiasi cha mshahara kwa tarakimu na maneno tofauti?
 
MCHANGANUO MUBASHARA WA DENI LA MKOPO WA ELIMU YA JUU (HESLB) WA KATIBU MWENEZI MTARAJIWA WA CHAUMA
NDUGU @Seneta_Wa_Mtwiz:

Tuition Fee: 780,000 × 3 years = 2,340,000/=

Meals & Accommodation (Boom): 1,800,000 (1 year) × 3 years = 5,400,000/=

Field Allowance: 620,000 × 2 years = 1,240,000/=

Stationery: 200,000 × 3 years = 600,000/=
+
Blah!Blah! Zingine:

TOTAL: 9,580,000/=

MAKADIRIO: 10,000,000/=
----------------------------------------
----------------------------------------

MSHAHARA WANGU KABLA YA MAKATO:
Ni 165,450/= @ Mwezi
(Kwa maneno: Laki moja sitini na tano elfu na mia nne na hamsini TZS).

NI KWA NIA NJEMA TU,
NA SI VINGINEVYO!
Hiyo degree yako ulisomea Urusi? Eti mshahara 155,450/= Halafu ukaisoma laki na sitini na tano? Bahati yako ume-edit mapema! Huo mshahara kwa degree haupo hivyo labda kama wewe ni darasa la 7 na unafanya kazi masjala!
 
Bora angeishia la nne....mana ht muuza genge kwa mwezi hiyo ni ndg sana kwake

Huyu jamaa huenda analipwa hiyo pesa kweli ila si ajia rasmi ya serikali au private, nadhani atakuwa amejishikiza kwa mtu au taasisi fulani inampa hiyo hela kama posho. Lakini ukweli ni kwamba hata kama unalipwa milioni na nusu bado kazi unayo. SOCIAL SECURIY 10% + BODY YA MKOPO 15%, BIMA YA AFYA 4% TOTAL ALMOST 30%X1500000=450000 (STATUTORY DEDUCTIONS). BAKI 1050000 HALAFU KODI ZINAFUATA 1050000-720000=330000X30%=99000. MSHAHARA WA 720000 HUKATWA KODI 180000 NA KWA KILA KINACHOZIDI HAPO HUKATWA 30% . JUMLA YA KODI HAPO NI 180000+99000=279000. JUMLA YA MAKATO 279000+450000= 729000, TAKE HOME HALISI ITAKUWA 1500000-729000=771000. KAMA NITAKUWA NIMEKOSEA NIKO TAYARI KUKOSOLEWA.
 
Nashangaa katika mifano ya makato tulikuwa tunawekewa makadirio ya mshahara wa Tsh 1.5 Milioni, ni Watanzania wangapi wanapokea mshahara wa kiwango hiki? Mimi nadhani Bodi waendelee na ile rate ya mwanzo ya 8% atleast ni doable.
 
Mkuu mbona hilo siyo deni kabisa? Watu tunadaiwa HESLB milioni sitini (60,000,000/=Tsh) na bado tume cool. Niliposikia deni la mwenzangu aliyeenda kusomea Urusi, niliona kumbe deni langu siyo kitu kabisa.
 
Back
Top Bottom