Jionee mchanganuo mbashara wa deni la HESLB

Jionee mchanganuo mbashara wa deni la HESLB

Mkuu mbona hilo siyo deni kabisa? Watu tunadaiwa HESLB milioni sitini (60,000,000/=Tsh) na bado tume cool. Niliposikia deni la mwenzangu aliyeenda kusomea Urusi, niliona kumbe deni langu siyo kitu kabisa.
Kwani mkuu aliyekwenda urusi heslb walim fund???? Au ilikuwa scholarship
 
165,450/= mshahara wa kazi gani? Hii Serikali ina watendaji wapole sana. Aaaaahhh!!!!
 
Kwani mkuu aliyekwenda urusi heslb walim fund???? Au ilikuwa scholarship
Scholarships nyingi za nje zinakuwa ni partial mkuu. Chache sana zinakuwa full. Urusi mwanafunzi ana scholarship ambayo haiusishi gharama za hostel, chakula, stationaries, faculty requirements etc. Mwanafunzi hulazimika kugharamia vitu hivyo na hapo ndipo serikali kupitia bodi ya mikopo humkopesha mwanafunzi (boom). Sasa imagine umesoma mwaka mmoja lugha ya hiyo nchi (kama hawatumii kingereza) na mitano darasani. Hapo serikali kupitia bodi wanakukopesha kuanzia 450$ hadi 1200$ kwa mwezi kulingana na aina ya scholarship na nchi husika. Hapo ni undergraduate studies.
 
Back
Top Bottom