jinsia za ajabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jinsia za ajabu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkali Tozz, Sep 12, 2012.

 1. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maana wamekuwa wakinichanganya kutokana na category na sifa zao kibaoloji kama ifuatavyo
  ( i) kunawengine wana matiti na uume tuu, hawana uke.
  (ii) kuna wengine wana uume na uke na matiti kwa pamoja.
  (iii) kuna wengine wana uke na matiti ila hawana haiba ya kike kabisa, hawana feelings za kuingiliwa.(jikedume)
  (iv)kuna wanawake ila wana ndevu, mustachi, misuli, sauti nzito na wanapenda kamapania za wanaume
  (v)kuna wanaume ila wana sauti nyembamba, makalio makubwa na matiti makubwa na wanapenda kampani za wanawake.

  Ningependa kufahamu maisha yao, asili yao , uwezo wao wa tendo la ndoa na behaviour zao kwenye mahusiano, Je wanauwezo wa kumpa/kupewa mimba? Nguvu zao kimaumbile (reproductive organs) zinafanya kazi kama kawaida?

  Ningeomba msaada wa mchanganuo wa viumbe hawa na mahusiano ya kwenye mambo ya LOVE & SE
   
 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Usidanganyike hizo ni Cosmetics surgery zinazofanywa kwenye nchi za dunia ya iliyoendelea, hao madokta wanaofanya kazi hizo wanalipwa bei mbaya.
   
 3. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  yeah, its a kind of transgender issue. Unamkumbuka Semenya wa Africa kusini ktk michezo ya Olympiki?
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe upo katika kundi lipi?
   
 5. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  relationship varies, most are treatable and lead normal lives
   
 6. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona huko Africa watu wa jinsia mbili wako wengi (source-Madaktari)
   
 7. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je wanauwezo wa kuzaa au kuzalisha?
   
 8. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  kama ana 2.Atakuwa na uwezo wa ku bleed (MC), Uume wake unasifa kama za kwetu (erect/ejaculate)?
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Kinachomfanya mtu kuwa mwanamke ama mwanaume ni reproductive organs, period! Hayo mengine kama hormones na shape (makalio na manyonyo) ni majaaliwa. Hormones zinaweza kuathirika na kuwa manipulated to normal levels.
  Na reproductive system sio ya nje, ni ile ya ndani. Kama vagina na penis vinaweza kutengenezwa kwa surgery, lakini uterus na epidydimis hazitengenezeki nadhani (sina hakika na success story yoyote).

  Mwisho wa siku sie wenye tunyonyo kama amblyoma (kupe wa kienyeji) na flat screen kwa nyuma msije mkatukatalia kuwa sio wanawake, tafadhali sana!
   
 10. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeuliza tuu kuongeza ufahamu, mimi niko kawaida (i am perfectly normal). Je na wewe uko kundi lipi?
   
 11. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280

  Hakuna mwenye uume na uke, google hutapata hiko kitu, ila kuna shemale, amamwonekano wa kike kila kitu tena mzuri ile mbaya ila unakuta ana uume alafu kuna wanawake wachache itakuta pale kwenye kisimi (kiarage) kinakuwa kama uume kidogo, wala haiwi wazi eti uume hapa na uke kule na mara nyingi iko kiuume utakiona kimaumbile ila hakina uwezo, google you tube videos utaona
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,350
  Likes Received: 2,687
  Trophy Points: 280
  Mungu aliumba mtu mke na mtu mume period!...hakuna jinsia nyingine bali wanadamu ama wanajihalalishia au ni matatizo ya kibaiolojia
   
 13. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red! Je kwa hawa wenye jinsia mbili kwa pamoja UKE na UUME.wanakuwa kundi gani?
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hiyo niliyokuwekea nyekundu ni kundi lipi katika uliyoyataja? sijaliona katika makundi yako.

  Mimi nna uume mmoja, makalio mawili, chuchu mbili, makalio madogo mawili, vichwa viwili; kimoja kiko juu ya shingo iliyobebwa na mabega ambacho kina macho mawili, masikio mawili, midomo miwili, pua moja na kichwa kingine kipo kwenye uume ambacho kina mdomo mmoja wa kutolea mkojo na ute wenye mbegu za uzazi.
   
 15. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo hakuna wanaozaliwa hivyohivyo. wote ni artificial?
   
 16. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahaha! Mbona kama sifa zako zote ulizozitaja zipo hapo juu! zisome tena unipatie roman number ya group lako.
  Mimi sipo hapo kwenye hayo magroup, ningekuwepo hapo nisingeuliza, tunaulizaga vile tusivyovijua tuu?
   
 17. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Asilimia kubwa ya shemales ni wale ambao wamefanyiwa cosmetic surgery na kupewa hormonal injections. Hao wenye jinsia mbili wapo (nimeona live)ispokuwa as u said hzo organs mara nyingi haziperform kazi inayotarajiwa.
   
 18. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwenye red .Kwahiyo wataoa au kuolewa? au watakuwa chronic single!
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Ile morphology ya ndani ndio inachunguzwa kitaalamu na kuamua kama wana jinsia gani. Ultrasound itahusika hapo. Corrective surgery hufanywa kuondoa ile ambayo sio functioning. Sikumbuki kusoma case ambayo labda ana uterus na korodani. And usually jinsia ya kiume inafanya kazi ama haifanyi, hiyo huwa indicator ya kwanza. Ila punguza kuangalia porn, mara nyingi ni exaggerations.
   
 20. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa kuwa ndoa inaandamana na matarajio(km sex na kuzaa) sio rahisi kwa wao kuzaa. Nitaku-PM picha ili uone hayo maumbile yanavokuwa.So kama ni ndoa itabidi iwe ya ''kimkataba zaidi'' maana kama mwanaume ana matarajio ya watoto hapo hatapata, kama anataraji sex hatapata coz mwanamke hana maumbile timilifu kwa ajili ya hilo. Japo anakuwa na matiti(according to the case i saw) na feelings as any other girl.
   
Loading...