jinsia za ajabu

Kinachomfanya mtu kuwa mwanamke ama mwanaume ni reproductive organs, period! Hayo mengine kama hormones na shape (makalio na manyonyo) ni majaaliwa. Hormones zinaweza kuathirika na kuwa manipulated to normal levels.
Na reproductive system sio ya nje, ni ile ya ndani. Kama vagina na penis vinaweza kutengenezwa kwa surgery, lakini uterus na epidydimis hazitengenezeki nadhani (sina hakika na success story yoyote).

Mwisho wa siku sie wenye tunyonyo kama amblyoma (kupe wa kienyeji) na flat screen kwa nyuma msije mkatukatalia kuwa sio wanawake, tafadhali sana!
mama nlikuona juzi umefungasha kikapu nyuma au nlikufananisha? lol

kama ana 2.Atakuwa na uwezo wa ku bleed (MC), Uume wake unasifa kama za kwetu (erect/ejaculate)?
Haipo. one will be dominant so ataiondoa the other one
 

Hakuna mwenye uume na uke, google hutapata hiko kitu, ila kuna shemale, amamwonekano wa kike kila kitu tena mzuri ile mbaya ila unakuta ana uume alafu kuna wanawake wachache itakuta pale kwenye kisimi (kiarage) kinakuwa kama uume kidogo, wala haiwi wazi eti uume hapa na uke kule na mara nyingi iko kiuume utakiona kimaumbile ila hakina uwezo, google you tube videos utaona
huo sasa ubishi wapo wemye vyote viwili na wengine vyote vinakuwa active,uume kwa maana ya uume na uke kwa maana uke.hata hivyo google nayo huandaliwa na watu.dunia ni zaidi ya unavyoiona.
 
Kwa kuwa ndoa inaandamana na matarajio(km sex na kuzaa) sio rahisi kwa wao kuzaa. Nitaku-PM picha ili uone hayo maumbile yanavokuwa.So kama ni ndoa itabidi iwe ya ''kimkataba zaidi'' maana kama mwanaume ana matarajio ya watoto hapo hatapata, kama anataraji sex hatapata coz mwanamke hana maumbile timilifu kwa ajili ya hilo. Japo anakuwa na matiti(according to the case i saw) na feelings as any other girl.

Tram naomba unipm na me nione wanavyokuwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom