Mh Nyageta wasu!.Naombeni msaada wa kuweka bannerd advert ,flash kwenye blog,kila nikijaribu haifanyi kazi,kama kuna mtaalamu wa blog basi anielekeze vizuri.
Kilongwe yupo hapa atatupa darasa. Mnasikia nyie wajita?ulio wasu,natafuta mtaalamu wa blog,wasu
Nashukuru Mchukia ufisadi,Kuhusu maswala ya banner kwenye blog kama blogspot binafsi sina utaalamu nayo ila kama ni kwenye website ya kawaida hilo halina shaka sasa sijui mh Nyangeta uliposema kwenye blog ulikuwa unamaanisha blog yako mwenyewe au kama hizi za blogspot,wordpress nk? Kuhusu mwaswali ya Networking,hapo hakuna tatizo kwani ndio field yangu kwa sasa,ninachoweza kusema ni sawa na member mmoja wa Afroit(CCNAER) alivyoshauri kuwa itakuwa bora kama utasoma kwanza CCNA kwani maswali mengi yatajibiwa kiurahisi mno kwenye notes za CCNA.Binafsi nimejitolea kukutumia Lacture na Vitabu murua vya CCNA,hivyo baada ya masaa kadhaa check ya yahoo, Pia kwa sasa tupo kwenye mahitimisho ya Afroit tech Suite,hii kitu ikikamilika itakuwa ni msaada tosha kwa watanzania,kutakuwa na Lacture za kila area ya ICT toka kwa watanzania waliobobea kwenye hiyo fani,Kutakuwa na Vitabu,Videos,White papers.podcast nk... Stay with us kama Countdown yetu inavyoonesha kule Afroit.
www.afroit.com