Jinsi ya kuweka banners and flash | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuweka banners and flash

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by nyangeta, Feb 3, 2010.

 1. n

  nyangeta Member

  #1
  Feb 3, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni msaada wa kuweka bannerd advert ,flash kwenye blog,kila nikijaribu haifanyi kazi,kama kuna mtaalamu wa blog basi anielekeze vizuri.
   
 2. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 9,607
  Likes Received: 37,938
  Trophy Points: 280
  Mh Nyageta wasu!.
   
 3. n

  nyangeta Member

  #3
  Feb 3, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulio wasu,natafuta mtaalamu wa blog,wasu
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,684
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Kilongwe yupo hapa atatupa darasa. Mnasikia nyie wajita?
   
 5. n

  nyangeta Member

  #5
  Feb 4, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kaka,nimeshukru sana,na bado ninahitaji msaada wako,nimeanza cisco kwa hiyo kuna badhi ya vitu sivijui mbali na hivyo vinafanyaje kazi.
  Mfano
  Network adddress
  multicast address
  broadcast address

  OSI LAYER ,INAFANANAJE
  1. Application
  2. network layer
  3. presentantion layer
  4. session layer
  5. transport layer
  Kazi za hizo layer ni zipi,in practical nitawezeje kuziona?
  What is Enable command?function?type of enable command?why we need it?

  ns lookup ?
  primary domain server?function?example
  What is Ping?Function?why we use Ping?how to test ?
  Remote connectivity?

  What is Proxy ARP?
  ipv4 address?function?
  subnet?subnet mask?function to each

  What are the function of the following and why we need?example
  physical layer
  data link layer
  network layer
  transport layer

  NVRAM?FUNCTION?

  wHAT is private address?how to make IP address private?is it possible to make my computer IP address invisible?who to do?

  what is host server on a router?

  telnet 192.168.1.1?
  ping 192.168.1.1-
  ftp 192.168.1.1
  tracert 192.168.1.1


  duplex ethernet?function?how it look like?
  NAT?FUNCTION?

  what is clock rate command?why we need it ?function?

  EMI & RFI?

  wHAT IS THE MEEANING OF THE FOLLOWING ?where can be applied?is it visible?
  10 base T
  10 base 2
  10 Base 5
  100 Base FX
  100 Base TX
  100 bASE LX

  what is the function and the meaning of the following
  FT client
  Telnet Client
  Terminal Emulation program
  web browser

  what is the command of the following?function

  clock rate
  description
  IP address
  No shutdown

  what is partial 4 header?function?how it looks like?

  what is bit,source port,sequence number,header lenght,reserved,code bit?function

  ICMP?Function ?

  what is the adminstrator password?also anable,aux,console,VTY
  What are interface LIST? what are they?

  what is the function and meaning of the foolowing?
  MAC
  IP Packet header
  incoming interface
  transport layer PDU
  sOURCE Mac address
  TELNET SERVER & DHCP SERVER?HOW TO BUILD
  GET
  SSH

  what is meaning of the following
  service point no
  host logical address
  device physical address
  virtual connection identifier?

  Je nitafahamuje kuwa hii email niliyotumiwa inatoka TZ AU KENYA?NITUMIE HIYO LINK YA KU BYPASS ILI NIWEZE KUACESS INTERNET/
   
 6. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nashukuru Mchukia ufisadi,Kuhusu maswala ya banner kwenye blog kama blogspot binafsi sina utaalamu nayo ila kama ni kwenye website ya kawaida hilo halina shaka sasa sijui mh Nyangeta uliposema kwenye blog ulikuwa unamaanisha blog yako mwenyewe au kama hizi za blogspot,wordpress nk? Kuhusu mwaswali ya Networking,hapo hakuna tatizo kwani ndio field yangu kwa sasa,ninachoweza kusema ni sawa na member mmoja wa Afroit(CCNAER) alivyoshauri kuwa itakuwa bora kama utasoma kwanza CCNA kwani maswali mengi yatajibiwa kiurahisi mno kwenye notes za CCNA.Binafsi nimejitolea kukutumia Lacture na Vitabu murua vya CCNA,hivyo baada ya masaa kadhaa check ya yahoo, Pia kwa sasa tupo kwenye mahitimisho ya Afroit tech Suite,hii kitu ikikamilika itakuwa ni msaada tosha kwa watanzania,kutakuwa na Lacture za kila area ya ICT toka kwa watanzania waliobobea kwenye hiyo fani,Kutakuwa na Vitabu,Videos,White papers.podcast nk... Stay with us kama Countdown yetu inavyoonesha kule Afroit.
  www.afroit.com
   
 7. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #7
  Feb 5, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,405
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Mkuu Kilongwe,
  Hii ni habari njema sana kwetu sisi tunaousudu mambo ya ICT itakuwa ni msaada mzuri sana kwa watu wengi.
   
 8. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu Nyangeta nimekutumia material ya CCNA kwenda kwenye e mail yako.tena kwa safari hii ni ya Kidume Wendell Odom,moja ni lacture na nyingine ni Kitabu pamoja na flash cards kama nilivyokuahidi,so kazi kwako,tena nimejitahidi kukupatia Lacture mpya za mtihani wa 640-802 na sio wa640-801 kama yale ya Nuggets,so kazi kwako kujifaidi na ushindwe wewe tu kwani hakuna uchoyo kwenye elimu, imefika wakati tuondokane na ile kasumba ya zamani kuwa kila mmoja akijua hakitakuwa na deal.
  NB:Kama kuna mtu yeyote anahitaji nitumie request kwenda kilongwe@qq.com ndani ya wiki kwani kuna wakati mtu anakuja kukutumia e mail baada ya mwezi mmoja.Mafaili yote yana kama 700MB,
   
 9. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hellow Kilongwe,
  Big up sana kwa msaada and sharing of your valued knowledge, I among other I realy do appreciate saana.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...