Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
Pesa hazina ukomo wa kuzitafuta na hazina kanuni ya kuzipata, hata hivyo unatambua hadi leo hii matajiri kama Bill Gates, Jeff Bezzos wanaendelea kutafuta helaWanaume wa jf bure kabisa badala mfundishane jnsi ya kupata pesa mfundishana ujinga mkikataliwa kisa amna pesa mnakuja kulia lia umu


Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app

