Jinsi ya kuwadhibiti majini hawa wanne na kuwatumia kupitia pete

Mkuu Mzizi mkavu nina shida kwani kaka yangu mwenye umri wa miaka 50 ana tatizo la kupata choo,anajisadia kiasi kidogo kidogo sana na choo ni laini sawa na udongo wa mfinyanzi ulio lowa,naomba unisaidie mawazo yako kwani umekuwa msaada kwa jamii.tatizo ni nini na linaweza kutatuliwa vipi?

Haya nisaidie kama mtu anataka iyo pete ataipataje?
 
Huyo anaeishi miaka 2000-2500... Aisee ni kwikwi.. Miaka buku mbili jero..? Duuh toka enzi za kabla ya kuzaliwa jesus mpaka kaondoka kaja muhamad (S.A.W) Na kaondoka jomba linapeta tu.. Na mpaka leo tunapishana nalo kariakoo... Duuh napita tu
 
Usipo kuwa na Mungu au shetani dunia hii huwezi kuwa na maisha yenyewe ukwasi wa kutosha.

Wote Wana masharti yao ama afuate masharti yao ule raha au ukatae uangamie. Matajiri wote wanafanya biashara kwanza rohoni baadaye mwilini

A neutral person hawezi win kamweeeèeeeeeeè.
Pana ukweli kiasi Fulani, japo kiundani tafsiri yake ni kwamba mtu unatakiwa uwe na msimamo usioyumba ili ufikie mafanikio ya juu
 
Hizi mada za namna hii ni kwa ajili ya kuelewa tu lakini humu hakuna mtu wa. Kukusaidia zaidi ya unafikiri wewe kwa ufupi ni potojo tu acha kuamini huu upuuzi.
 
Mzizi mkavu ivi kuna ukweli kiasi gani kwenye hii mada yako?sababu mm nashindwa kuamini ila naamini majini wapo .nisichoamini ni kuwa na izo pete na zikafanya kazi kama ulivyoeleza.vp unaweza kunihakikishia juu ya ilo?
mimi naweza kukuhakikishia ila kulingana na nyota yako na sayari kwa wengine wanavaa hazina effect yanakua mapambo tu, na zina siku za kuvaa unaweza ukavaa wewe ikakupiga nuksi,.
 
Always sura zao ni za kutisha,hakuna wazuri wa sura?
Wapo wazuri majini kam huyu hapa chini. Jini wa mahaba wa kike anaitwa Jini Sucubi anaye waingilia Wanaume usiku kufanya nao Mapenzi. Je unamtaka ? nikutumie akujie uwe nae?

Succubus.jpg
 
Back
Top Bottom