Jinsi ya kuwadhibiti majini hawa wanne na kuwatumia kupitia pete

Nasikia haya majini yana masharti magumu sana pindi unapoyatumia, haiko simple kama maelezo yanavyoonyesha hapo juu

Mtoa mada sijui unazungumziaje hoja hii

Wanadamu tunashida sana yaani process zote hizo kumtoa jini. Omba Toba kwa Mungu, Yataje haya majini tena sio lazima utaje majina yao. Basi yachome kwa moto wa Roho Mtakatifu, Kumbuka damu ya Yesu husafisha uchafu wote pamoja na mapepo na majini.

Kama unashida omba hivi:-(huu ni point muhimu si lazima iwe hivi just example).

Omba kwa sauti!

Baba (Mungu) kwa jina la Yesu kristo.....(hii muhimu sana kuanza hivi but sio lazima).
Ninakuja mbele zako, Ninatubu makosa yangu( unaweza yataja hapa) nioshe kwa damu ya yesu kristo. Ninaamini umenisamehe na kuniosha na sasa ni safi kabisa.

Katika jina la Yesu kristo ninavunja na kuaharibu nguvu ya sadaka, manuio, madhabahu za kichawi, kipepo, majini na mizimu kwa damu ya Yesu kristo

Mungu wa Yesu Kristo wa Nazareth ninasimama na nguvu zote za giza, mapepo, majini na kila aina ya roho chafu( unaweza kutaja sasa hayo majini nk but sio lazima).

Kwa jina la Yesu ninafukuza kila roho kutoka kwa shetani, kutoka kwa wachawi, kutoka kwa mizimu, kutoka kuzimu, kwa jina la yesu ninachoma kwa damu ya Yesu kristo na kwa moto wa Roho mtakatifu, kwa jina la Yesu!!! (hapo kila roho chafu zilizopo ndani yako au ndugu yako au ukoo nk utaona action flani ambayo sio ya kawaida, basi ujue umeisha creat bomu la nguvu kusambaratisha hayo maroho, rudia rudia rudia rudia mpaka utakapo ona maroho au majini yameondoka).

Kumbuka majini, mapepo na mashetani hayakuumbwa kukaa katika miili ya binadamu yanaingia na kukaa kwa sababu au kibahati bahati. Na si lazima mapepo, majini au mashetani yaondoke kwa kupiga kerere mbengi hukimbia kimya kimya. Kitakachokujulisha kwamba yameondoka ni hali kubadilika kutoka kuwa mbaya na kurudi kuwa nzuri.

Dalili kubwa ya haya majini au maroho au mapepo kumkumba mtu ni:-

-Kiburi.
- Wasiwasi.
- Moyo kwenda mbio kama vile una BP.
- Kisukari.
-Mwili kuchoka (wakati wote ni mchovu)
- Kutokupenda Kwenda Kanisani au kusikiliza neno la Mungu
- Uvivu nk.

Asilimia 60 (60%) ya magonjwa yanayowapata (yanayosumbua bila tiba au dalili) wanadamu yanasababishwa na mapepo na maroho ya kuzimu, mashetani.

MUHIMU: unaweza kuomba maombi hayo mara kwa mara hata kama hakuna dalili, Kumbuka mapepo na majini na mizimu husumbua sana watoto kwa kuwa yanaamini kwa watoto hawawezi kugundulika kwa urahisi.

SASA HAPO NDIMU SIJUI PETE , SIJUI NINI MAITI VIKO WAPI. ni maombi ya dakika 10 na kurudia rudia Basi.

Jesus die and raised for all!
 
Aibu kwako wewe Mtoto mdogo usie juwa dunia jinsi ilivyo kwangu mimi ni jambo kubwa sana wewe bado bwana mdogo hujajuwa Dunia jinsi inavyoendeshwa na viumbe wa giza nenda shule ukajifunze au waulize watu wazima waliokuzidi umri utaambiwa.

Hivi Mapepo na majini ni wakubwa na wana nguvu kuliko Mungu. Tumwamini Mungu na tusiweke Imani yetu kwa majini na mapepo na mashetani.
 
mimi namurlewa vzr sn Mzizi Mkavu...hawa viumbe ni wazuri sana ukiendana na madharti yao usione watu ni matajiri...watu wana vyeo vikubwa kwenye koo zao....kuna mambo mengi sana behind the scene...mojawapo ili ufanikiwe na hawa viumbe ni kufuata masharti yao kila kukicha yaani iwe sehemu ya maisha yako...na akigundua unemdanganya atakachokufanya hutasahau maishani mwako...ila ni viumbe wazuri sana ukimfuatilia anachotaka ...hutakwama na ikitokea ukikwama au kupatwa na jambo atakuoko km stering kwenye movie ya kichina...but never play badly with them...hio ni BIG WARNING....anaweza teketeza hata ukoo mzima au yule unaempenda zaidi ktk familia yako...but they are very super when you play with them in good way...ni hayo tu
 
JINSI YA KUWADHIBITI MAJINI HAWA WANNE NA KUWATUMIA KUPITIA PETE

Jinni ni jina waliyopewa majini wote. Kuna habari nyingi zinazotafautiana kuhusu vyeo vya majini kutokana na nguvu zao. Lakini watu wote wanaamini kwamba daraja zao zinaendana kutokana na nguvu zao na umri wao. Ili kufahamu zaidi hii ni orodha ya baadhi ya Majini na uwezo wao,na jinsi ya kuweza kumdhibiti jini huyo kwa kutumia pete ambayo imefukizwa mafusho yake husika na kumtumia katika mambo yako mbalimbali kupitia pete hiyo uliyovaa kidoleni.

AINA YA MAJINI
Kuna aina tatu za majini:
(1) majini ambao huruka angani
(2) Majini ambao maumbo yao ni kama majoka na mbwa.
(3) majini ambao huishi sehemu moja na kuhama hama.

MAKUNDI YA MAJINI
Kuna makundi mengi ya majini:-
(a) Majini ambao huishi na binadamu huitwa ‘Amir.
(b)Majini ambao hushambulia watoto wa kiume huitwa Ruh (arwaah).
(c) Majini ambao wenye nia mbaya na wenye kiburi huitwa shaytwan.
(d) Majini wenye nguvu kuliko mashetani wanaitwa Marid.
(e) Majini wenye nguvu kuliko marid wanaitwa Ifrit.”

1. JINNI JANN

Jann ni majini wadogo, wenye hadhi ya chini na wasiokuwa na nguvu.
Umbo lao ni kama binadamu na huonekana warefu ila macho yao huwa yanawaka waka na kutoa mwanga wa ajabu.
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete yenyewe ni ya jiwe la turqoise na katikati ya pete hiyo ndiyo kuna nguvu za kumdhibiti jini huyu.
Pete yenyewe imezungukwa na mawe manne madogo ambayo kazi zake ni:-
(1) Jiwe la kwanza ni la kukuletea utajiri, heshima na utukufu.
(2) jiwe la pili linakupa mvuto wa kimapenzi na uzuri
(3) Jiwe la tatu linakuletea bahati na kukuondolea matatizo.
(4) jiwe la nne linakupa uwezo wa kumrubuni mtu yeyote unayeongea nae.

2.JINNI DJINN

Djinn majini hawa wana urefu mara mbili zaidi ya mwanadamu ingawa sehemu yake ya chini huwa kama moshi na upepo
majini hawa ni wengi lakini baadhi yao hawana nguvu, kazi yao ni kutisha watu kwa raha zao wenyewe.
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete ya kumdhibiti jini huyu ni ya shaba yenye kito cha sapphire ya njano, kazi yake kubwa ni kukuwezesha kushinda michezo kama vile kamari, bahati nasibu na kukushauri sehemu ya kuwekeza kibiashara.

3.JINNI AFRIT

Afrit Minal jini ni Majini wanaojulikana kwa nguvu zao na ujanja.
Jini huyu mwenye umbo la kiume ana ngozi nyororo macho yanayo fuka moshi na pembe ndogo nyeusi. Hutokwa na moshi wa mviringo kutoka mwilini mwake.
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete ya kumdhibiti jinni huyu ni ya shaba na kito cha rangi ya blue, Pete hiyo itakusaidia katika Michezo ya bahati nasibu, kukuletea bahati, utajiri, mafanikio katika kazi na biashara zako pamoja na bahati katika masuala ya mapenzi.

4.JINNI MARIDA

Jini Huyu ana sura ya kufanana na Jitu kubwa lenye nguvu, ngozi yake ya mwili ina rangi ya bluu na kijani.

Majini haya ya Marida ni yenye nguvu na uwezo mkubwa sana na huwa wanatumiwa kwalinda na kuwasaidia Wafalme, Matajiri wakubwa, marais na Viongozi wakubwa serekalini. Majini hawa huishi kati ya miaka 2000 na 2500)
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete hii ya shaba na kito cha quartz itakusaidia kudhibiti watu, kuheshimiwa, watu kukuogopa, kuwa na mvuto katika jamii, kujua mambo yatakayokukuta huko unakoelekea, kinga na kukusaidia katika mambo mengi ya kiutawala.
pete ifukizwe mafusho husika kabla ya kuivaa

Ukiwa na Maswali au shida yoyote unawezakunitafuta kwa kubonyez hapa. Au Piga Simu hizi hapa Kwa Doctor Ally chambas

0653 532036
0764 995259
KWA HAKIKA WALIKUWA WATU WAKIJILINDA(KUOMBA MSAADA WA ULINZI) KWA MAJINI, BASI (HAO MAJINI) WAKAWAZIDISHIA UPOTOFU( MWAKA HUU LETE MBUZI, MWAKANI NG'OMBE, MWAKA UNAOFUATA MWANAO, UNAOFUATA MZAZI..).. QUR-AN 72:6
 
mimi namurlewa vzr sn Mzizi Mkavu...hawa viumbe ni wazuri sana ukiendana na madharti yao usione watu ni matajiri...watu wana vyeo vikubwa kwenye koo zao....kuna mambo mengi sana behind the scene...mojawapo ili ufanikiwe na hawa viumbe ni kufuata masharti yao kila kukicha yaani iwe sehemu ya maisha yako...na akigundua unemdanganya atakachokufanya hutasahau maishani mwako...ila ni viumbe wazuri sana ukimfuatilia anachotaka ...hutakwama na ikitokea ukikwama au kupatwa na jambo atakuoko km stering kwenye movie ya kichina...but never play badly with them...hio ni BIG WARNING....anaweza teketeza hata ukoo mzima au yule unaempenda zaidi ktk familia yako...but they are very super when you play with them in good way...ni hayo tu
Wote wamelaaniwa hakn mzur hp
 
Unataka nikutumie mmoja wapo akujie leo ili upate kuthibisha hao viumbe wapo?

Mkuu MziziMkavu;
Miye nakusihi kwa uudi na uvumba nipe masharti yako kuwa nifanye nini ili unitumie lije kwangu tule nalo chakula cha jioni leo au siku unayoitaka weye. Usijali kuwa ni lipi unalituma, lije tu ila lije na barua yako ili nikuhishim. Naahidi jamani kuwa nitauleta mrejesho hapa hapa jamvini kwamba nimeshika adab
 
Mkuu MziziMkavu;
Nilikuomba kwenye thread yangu hapo juu kuwa nitumie hilo lijamaa nilione na kusalimiana nalo. Nataka nijipime nguvu zangu na za hilo limjamaa. Mbona umeingia mitini??
Siamini kuwa hawapo ila sijawahi kukutana nao. Kwetu wana kausemi; Toto likililia wembe lipe, ulikate kidole
 
JINSI YA KUWADHIBITI MAJINI HAWA WANNE NA KUWATUMIA KUPITIA PETE

Jinni ni jina waliyopewa majini wote. Kuna habari nyingi zinazotafautiana kuhusu vyeo vya majini kutokana na nguvu zao. Lakini watu wote wanaamini kwamba daraja zao zinaendana kutokana na nguvu zao na umri wao. Ili kufahamu zaidi hii ni orodha ya baadhi ya Majini na uwezo wao,na jinsi ya kuweza kumdhibiti jini huyo kwa kutumia pete ambayo imefukizwa mafusho yake husika na kumtumia katika mambo yako mbalimbali kupitia pete hiyo uliyovaa kidoleni.

AINA YA MAJINI
Kuna aina tatu za majini:
(1) majini ambao huruka angani
(2) Majini ambao maumbo yao ni kama majoka na mbwa.
(3) majini ambao huishi sehemu moja na kuhama hama.

MAKUNDI YA MAJINI
Kuna makundi mengi ya majini:-
(a) Majini ambao huishi na binadamu huitwa ‘Amir.
(b)Majini ambao hushambulia watoto wa kiume huitwa Ruh (arwaah).
(c) Majini ambao wenye nia mbaya na wenye kiburi huitwa shaytwan.
(d) Majini wenye nguvu kuliko mashetani wanaitwa Marid.
(e) Majini wenye nguvu kuliko marid wanaitwa Ifrit.”

1. JINNI JANN

Jann ni majini wadogo, wenye hadhi ya chini na wasiokuwa na nguvu.
Umbo lao ni kama binadamu na huonekana warefu ila macho yao huwa yanawaka waka na kutoa mwanga wa ajabu.
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete yenyewe ni ya jiwe la turqoise na katikati ya pete hiyo ndiyo kuna nguvu za kumdhibiti jini huyu.
Pete yenyewe imezungukwa na mawe manne madogo ambayo kazi zake ni:-
(1) Jiwe la kwanza ni la kukuletea utajiri, heshima na utukufu.
(2) jiwe la pili linakupa mvuto wa kimapenzi na uzuri
(3) Jiwe la tatu linakuletea bahati na kukuondolea matatizo.
(4) jiwe la nne linakupa uwezo wa kumrubuni mtu yeyote unayeongea nae.

2.JINNI DJINN

Djinn majini hawa wana urefu mara mbili zaidi ya mwanadamu ingawa sehemu yake ya chini huwa kama moshi na upepo
majini hawa ni wengi lakini baadhi yao hawana nguvu, kazi yao ni kutisha watu kwa raha zao wenyewe.
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete ya kumdhibiti jini huyu ni ya shaba yenye kito cha sapphire ya njano, kazi yake kubwa ni kukuwezesha kushinda michezo kama vile kamari, bahati nasibu na kukushauri sehemu ya kuwekeza kibiashara.

3.JINNI AFRIT

Afrit Minal jini ni Majini wanaojulikana kwa nguvu zao na ujanja.
Jini huyu mwenye umbo la kiume ana ngozi nyororo macho yanayo fuka moshi na pembe ndogo nyeusi. Hutokwa na moshi wa mviringo kutoka mwilini mwake.
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete ya kumdhibiti jinni huyu ni ya shaba na kito cha rangi ya blue, Pete hiyo itakusaidia katika Michezo ya bahati nasibu, kukuletea bahati, utajiri, mafanikio katika kazi na biashara zako pamoja na bahati katika masuala ya mapenzi.

4.JINNI MARIDA

Jini Huyu ana sura ya kufanana na Jitu kubwa lenye nguvu, ngozi yake ya mwili ina rangi ya bluu na kijani.

Majini haya ya Marida ni yenye nguvu na uwezo mkubwa sana na huwa wanatumiwa kwalinda na kuwasaidia Wafalme, Matajiri wakubwa, marais na Viongozi wakubwa serekalini. Majini hawa huishi kati ya miaka 2000 na 2500)
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete hii ya shaba na kito cha quartz itakusaidia kudhibiti watu, kuheshimiwa, watu kukuogopa, kuwa na mvuto katika jamii, kujua mambo yatakayokukuta huko unakoelekea, kinga na kukusaidia katika mambo mengi ya kiutawala.
pete ifukizwe mafusho husika kabla ya kuivaa

Ukiwa na Maswali au shida yoyote unawezakunitafuta kwa kubonyez hapa. Au Piga Simu hizi hapa Kwa Doctor Ally chambas

0653 532036
0764 995259
Hivi Barack Obama,Trump,Bakhressa,Bill Gate,Hashim Thabit,na wao wanatumia majini?kama hawatumii,na wamefika hapo walipo,then hii story ya faida ya majini is just a myth!
Hayo majini yanaweza kuturetea tekinolojia ya android,smart TV,ujuzi wa kuchimba madini,au msaada wao ni kuvuta mwanamke tu unayemtaka,?
 
Back
Top Bottom