Jinsi ya kutumia supergro katika mpunga

robert_k

Member
Sep 27, 2019
42
19
Hello....okay, baada ya maombi ya marafiki zangu wengi wa mbeya ambao wanajiandaa katika ukulima wa mpunga na wanataka kutumia SUPERGRO kwa matokeo mazuri nimeamua kuweka matumuzi yake hapa

Kwanza SUPERGRO ninayouza ni ya kampuni ya NEOLIFE, maana kuna ya makampuni mengi tusichanganyikiwe hii ni ya NEOLIFE iliyokubaliwa na bodi ya uchunguzi ya kisayansi dunia kuhusu bidhaa za mwili na za kilimo iitwayo SAB(scientific advisory board)

Okay katika matumizi, supergro inakubaliwa katika mazao yote ikiwamo mpunga na haya ndio matumizi ya kilimo cha mpunga. Kwanza kabisa kabla ya kupanda, chukua mchanganyiko wako wa supergro yani 1cc kwa 1litre ya maji. Hapo sasa inategemea na matumizi yako mfano, una mbegu nyingi unaweza kuchukua supergro 5cc kwa 5litres unaweka katika chombo chako halafu unachukua mbegu zako unaloweka katika huo mchanganyiko kwa masaa 24. Ukishaloweka kwa masaa 24 kisha unachukua zile mbegu unaenda kupanda sasa. Wakati mpunga unaanza kuota vimajani mawili matatu hapo katika tope, unapuliza mchanganyiko wako wa supergro kama kawaida kwa ukubwa wa shamba lako katika vile vimajani vyako mara mmja tu. MARUFUKU KUTUMIA SUPERGRO KAMA MAJI YA MPUNGA YASHAJAA maana ukichanganya supergro ma yale maji ya mpunga, yatafanya mpunga kuwa mrefu sana halafu itakuwa rahisi kwa upepo kuupuliza

Kwahiyo unaloweka mbegu halafu unaenda kupanda, vimajani mawili matatu yakishaanza kutoka unapuliza mchanganyiko wa supergro na maji mara mmja unaacha. Supergro inasaidia kurutubisha ule mpunga vizuri sana kwa ajili ya matokeo mazuri. Vivyo hivyo kuloweka mbegu inatumika katika mazao mengi kama mhogo pia na kadhalika

Kwa mawasiliano na upatikanaji wa supergro...#0766317197/0693307877
 
Back
Top Bottom