Jinsi ya kutumia developer option kwenye android

Tish

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
360
209
Wadau habari zenu i hope mko poa.Tujuzane jinsi ya kutumia na kuseti feature za developer option. Asante
 
Ndugu wanajukwaa, nimefuta mafaili niliyokuwa nimehifadhi ndani ya simu ya Samsung J1 ACE kwa bahati mbaya, inaniuma sana! Naomba mtu mwenye maujanja ya ku-RECOVER files hizi anisidie tafadhali.
 
Back
Top Bottom