Jinsi ya kutuliza pesa ikaae kwako

Jinsi ya kutuliza pesa ikaae kwako

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
ITULIZE PESA KWAKO!
IFANYE PESA IKAE KWAKO!
Kama pesa kwako unaipata kwa tabu sana,
kama pesa inaingia na kutoka bila kukaa,
kama pesa haikai kabisa…
Kama unawaazima waatu pesa hawarudishi
Unafanya biashara,
unafanya kazi kwa bidii,
lakini pesa haionekani!
Unashika pesa nyingi,
lakini siku chache tu zinapita
pesa imetoweka bila kununua kitu cha maana
wala kufanya jambo la msingi.
👉 Hilo ni tatizo lililopo kwenye mikono yako.
Fungua mikono yako!
Fungua riziki zako!
Fungua mipango yako!
Ondoa vikwazo!
Fungua ahadi zilizokwama!
Ili kupata wepesi katika jambo lako,
na kufanikiwa katika mambo ya kheri unayoyafuatilia.
Jambo lolote la kheri unalolitaka,
kama linakwama-kwama…
✨ Hakika utaona mabadiliko.
Pesa itakuja kwa wepesi,
pesa itatulia kwako,
utapanga mipango na utaikamilisha.
Ahadi zako zitakamilika,
masuala yako ya kheri yatafanikiwa,
na pesa utaiona sasa
Sawa.

🌿 Tunafanya matambiko ya ufunguzi wa riziki na nyota
🔍 Tunatazama alama zilizopo kwenye viganja vyako
🖐️ Kujua sababu ya pesa kutokaa,
🖐️ kubaini vizuizi vya mafanikio,
🖐️ na kufungua njia za baraka zako.
✨ Kila mkono una ujumbe wake,
✨ kila alama ina maana yake,
✨ na kila riziki ina mlango wake.
📿 Ufunguzi unafanyika kwa utaratibu wa kheri,
📿 kwa nia njema na njia safi,
📿 ili pesa ikae, mipango ikamilike,
📿 na mafanikio yaonekane wazi
.
 
Hii ya kutuliza hela, hasa kwa wale ambao hela haikai naijua. Kuna siku nilipandwa na mood nikawa najisiikia kuitoa hii siri kwa member wa humu.

Nikawachagua member wawili, ke na me.

😂😂😂watu wakahisi mimi natafuta kuwateka nikapotezea.

Hii nitakufa nayo mimi tu
 
Hii ya kutuliza hela, hasa kwa wale ambao hela haikai naijua. Kuna siku nilipandwa na mood nikawa najisiikia kuitoa hii siri kwa member wa humu.

Nikawachagua member wawili, ke na me.

😂😂😂watu wakahisi mimi natafuta kuwateka nikapotezea.

Hii nitakufa nayo mimi tu
Shareee mkuu watu wanateseka sana na through sharing tunasaidiana aina mbalimbali za kumaliza t a tizo
 
Hii ya kutuliza hela, hasa kwa wale ambao hela haikai naijua. Kuna siku nilipandwa na mood nikawa najisiikia kuitoa hii siri kwa member wa humu.

Nikawachagua member wawili, ke na me.

watu wakahisi mimi natafuta kuwateka nikapotezea.

Hii nitakufa nayo mimi tu
dawa ni kuwa bahiri tu pia kutopenda kutembea na pesa nying mfukoni.

Japo kusafisha mwili napo ni mhimu, watu tunapitia mambo meng pia tunaish na watu wakila aina.
 
👉Nawasihi tena na tena acha kulala sehemu ambayo chini ya uvungu umeweka viatu unavyovaa au kuvaliwa na mwengine, wala usiweke ufagio chini ya uvungu wa kitanda chako.
Unajisababishia mazito ukiwa usingizini.
Unalalamika unaota ndoto za kutisha ikiwa wewe mwenyewe ni sababu ya ndoto hizo.

👉Usilale ukiwa uchi tafadhari usingizi wako ni ibada utumie vizuri ili unufaike na ibada hiyo. Kulala ukiwa uchi kunavutia viumbe viovu kua karibu yako na kunaweza kukusababishia matatizo. Jini Ashki hupendelea waliolala wakiwa uchi. Chukua hatua.

👉Tabia yako ya kujichua yaani kufanya mapenzi kwa kutumia viungo vyako au vitu na vifaa mbalimbali kunakuondolea kinga yako ya kimwili na kiroho na kukufanya uwe dhaifu dhidi ya viumbe viovu kama jini ashki na wengineo.

Kama utakua na tabia hizo unatakiwa kuacha mara moja kwani kinachokusumbua huenda ni katika tabia zako hizo.


ASILI INAPONYA ASILI INA NGUVU
 
MATE YAKO YA ASUBUHI NI MVUTO UNAOKUONDOLEA NUKSI MWILINI.


Temea kwenye maji ya kuoga asbh kabisa nuia ogea isiwe choon...
 
ulinzi mkali dhidi ya pepo wabaya, wachawi na mahasidi

👉mbegu 41 za mkunde pori
👉 kitunguu maji cheupe
👉 sindano 3

choma sindano zote 3 katika kitunguu chako. Baada ya hapo weka vyote ndani ya chungu na uviweke motoni, acha viungue hadi kuwa majivu.
Kisha toa sindano kutoka kwenye majivu, chimba shimo na uzizike.
Baadaye saga hayo majivu vizuri ili upate Usila kisha utumie usila (unga) huo kwenye maji yako ya kuoga kwa siku 5 tu mfululizo oga huku ukitia nia zako dhidi ya maadui zako.



ASILI INAPONYA ASILI INA NGUVU
 
KUJITOA UCHAWI MWILINI KUPITIA CHUMVI

Chukua Chumvi ya mawe yakutosha kiasi cha viganja viwili tia katika beseni na uweke maji yanayoweza kufika juu ya kongwa mbili za mguu.

Vaa nguo nyepesi yenye nafasi na usivae nguo ya ndani.

Simama katika beseni kwa dakika 20.

Hali tofaut inaweza kujitokeza katika mwili wako jitahidi uvumilie ndio dawa inafanya kazi hivyo kuumwa kichwa, mwili kuwasha, kuzunguzungu, au hasira ni hali inayoweza kukutokea.

Rudi hili zoezi kwa siku 7 mfululizo.

U

ASILI INAPONYA ASILI INA NGUVU
 
YAI LA KUKU WA KIENYEJI

Katika karne nyingi za kale jamii nyingi zilitumia Yai kujiponya, kuzuia ubaya na kurudisha ubaya kwa Adui.
Yai liliheshimiwa tofauti na ilivyo sasa tunalithamini yai kwa kula tu bila kujua Yai linaumuhimu zaidi Kiroho.

Leo Dr Asili nitawajuza machache yenye Umuhimu mkubwa kuhusu Yai la kienyeji.

👉Kugundua ubaya mwili mwako
Chukua yai la kuku wa kienyeji lipasue na uweke kwenye glass ya udongo yenye maji. Kisha glass hiyo uweke sehemu ya upande wa kichwa kipindi unalala hadi kesho yake ukiamka liangalie hilo yai kama litakua kama lilitaka kupikwa ujue unachezewa kichawi. Na ukilikuta lipo kawaida mwili wako hauna shida.

👉Kurudisha ubaya kwa Adui
Chukua yai la kuku wa kienyeji taja jina lako na ulipulizie hewa kisha linuizie unayoyataka kuhusu wabaya wako kisha toka njee ya nyumba yako na ulipasue yai hilo kwa manuizi ya kurudisha ubaya kwa adui. Hakika chamoto watakiona.

👉Kuondoa uchawi mwilini
Chukua yai la kuku wa kienyeji vua nguo zako zote kisha jisugue na yai hilo kuanzia sehemu ya kichwa kushuka chini huku unanuizia kuondoa uchawi mwilini mwako. Kumbuka yai linauwezo mkubwa wa kufyonza uchawi.
Jisugue na yai hilo hadi sehemu ya miguu kisha vaa nguo zako na ulichukue yai hilo ila ukimbuke kulibeba kwa karatasi au kitu chochote ila usibebe kwa mikono mitupu kuepuka uchawi uliopo katika yai hilo kurejea mwilini.
Toka nje na ukalitupe yai hilo kwenye maji yanayotembea au jalalani.

Hakika kwenye asili hakuna ugumu wala hakuna gharama ipende asili yako ili uijue ili unafaike nayo.



ASILI INAPONYA ASILI INA NGUVU
 
Ww mwenyewe unataka pesa kupitia utapeli, unatufundisha jinsi yal kushika pesa...

Nchi ngumu sana hii
 
Back
Top Bottom