kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,494
Ngoja nichukue kozi niwe naenda kuwapa hi wazee kijijini maana nauli za mabasi zilishanishinda miaka mingi tu...
Teh!, tehe!
Ngoja nichukue kozi niwe naenda kuwapa hi wazee kijijini maana nauli za mabasi zilishanishinda miaka mingi tu...
usitingishe macho wala kuchezesha mwili, ni kama maiti vile.
kulala chali ni kama maiti inavyolala
usishawishike kijigeuza, hata maiti hutamani kufanya hivyo kwa sabb maiti anawasikia ila tu haiwezi kurespond
mchezo mzima huo, ni kama al-mait havina tofauti
Ngoja nichukue kozi niwe naenda kuwapa hi wazee kijijini maana nauli za mabasi zilishanishinda miaka mingi tu...
Guys nimejarib dis morning....wakati wa kutengana miili nj shidaaa u feel like hell yaan ubarid unauckia unaanzia miguuni kwene unyayo....unapanda taratib then take over inatakoa very slowly....separation of body! Nimeamua nijikurupue maana kuna imetoke very strange! But ntajarib tenaa jion
hauwezi kufa kweli? Unaweza ukaona nini na je unaweza kumbuka
Mkuu Endeleza hilo Somo wew ndi Mwalimu hapa mimi huwa nikitaka kutoka huwa ninatoka ndani ya usingiz nikasafir kwenda ninako taka huwa ninaruka ndani ya usingizi haswa ninaanza kulala tu. Ni somo zuri sana hongera mkuu Rakims