Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Pasco

Asante sana Pasco kwa hayo maangalizo..... wakati nasoma uzi nilikuwa najiuliza maswali mengi sana ambayo nimeyapata kwenye haya maangalizo yako..... For sure I wont dare to try it....

Kila la heri kwa wanafunzi na wakufunzi wa hili
 
Last edited by a moderator:
usitingishe macho wala kuchezesha mwili, ni kama maiti vile.

kulala chali ni kama maiti inavyolala

usishawishike kijigeuza, hata maiti hutamani kufanya hivyo kwa sabb maiti anawasikia ila tu haiwezi kurespond


mchezo mzima huo, ni kama al-mait havina tofauti


Duuuuhhh nkaz kweikwei hii osie
 
Mi nina mdogo wangu wa kike, kuna kipindi fulani alikuwa akilala usiku anastuka hali ya kuwa yupo usingizini anatoka kitandani anafika hadi mlangoni kama anataka kutoka nje halafu anarudi kitandani

Au wakati mwingine anatembea hatua chache kutoka kitandani halafu anarudi tena kula kama zombie flani hivi hata ukimsemesha haelewi nikawa najiuliza sanaa siku akifanikiwa kufungua mlango bila sisi kusikia ataenda hadi wapi? Lkn sikuizi haamki usiku tangu awe mdada mkubwa.

Hebu mkuu rakims nisaidie hii inahusiana na hiko ulichokieza hapo juu?
 
Guys nimejarib dis morning....wakati wa kutengana miili nj shidaaa u feel like hell yaan ubarid unauckia unaanzia miguuni kwene unyayo....unapanda taratib then take over inatakoa very slowly....separation of body! Nimeamua nijikurupue maana kuna imetoke very strange! But ntajarib tenaa jion

Mkuu angalia usiondoke mazima, hahaaaaa
 
hauwezi kufa kweli? Unaweza ukaona nini na je unaweza kumbuka

Kufa Huwezi Wala Hakuna Kiumbe Anaeweza Kukata Silver Cold Ile Zaidi Ya Kupata Amri Kutoka Kwa Mwenyezi Mungu Sawa Na Mtu Kufa Usingizini Au Ndotoni....

Unachoona Ni Kile Utakachohitaji Kuona Kwenye Ulimwengu Wa Roho Na Kukumbuka Ni Lazima Maana Kama Umeweza Kujua Umetoka Nje Ya Mwili Ukirudi Kila Kitu Utakumbuka Hii Ni Tofauti Na Ndoto Kwamba Uote Usikumbuke...

"Its Your Mind Mkuu We Talk About Here"
Rakims
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Endeleza hilo Somo wew ndi Mwalimu hapa mimi huwa nikitaka kutoka huwa ninatoka ndani ya usingiz nikasafir kwenda ninako taka huwa ninaruka ndani ya usingizi haswa ninaanza kulala tu. Ni somo zuri sana hongera mkuu Rakims

Na Ndio Inapoanzia Mkuu Pale Mwanzo Wa Unapolala Hongera Sana Mkuu Maana Una Very Powerful Brain Kuwa Awareness Huku Umelala Ni Kwa Watu Wa Positive Thinking Zaidi Mkuu Karibu Darasa Linaendelea......
MziziMkavu

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Pasco

Mkuu Hii SiO Hiyo Unayodai Wewe Hiyo Ni Astral Projection 9th Chakras Mkuu Kabla Ya Kupost Hapa Najua Napost Kitu Gani Na Kwa Jamii Gani Hiyo Unasema Wewe Ni Dangerous Kweli Na Siwezi Kuifundisha Hapa Ninachofundisha Ni Astral Ya Beginners Ambayo Ni Kwa 7th Chakras Learner.....

Unachotakiwa Kufahamu Kuna Aina Za Astral Projection Mbili

Moja:
ASTRAL PROJECTION-
as Separate With Body where by someone being separated from hizi body by soul.......

yani hii ile mtu anajitenga mwili na roho na kufanya matukio kama mchawi na yakawa na effect in real World....

MBILI:
ASTRAL PROJECTION:
As A Lucid Dreamer.. Where By An Astral Become Separated By His Body As A Dreamer..

Yani Mtu Anakuwa Kajitenga Na Mwili Kimawazo Na Sio Kiroho.... Kama Unakichwa Kizuri Hapa Utakuwa Umeelewa Namaanisha nini na jibu lako nimekupa....

ila kwa faida ya wote point moja tu hapo inatenganisha between astral as a lucid dreamer & astral as a spirit separation.... point yenyewe ni pale unapovisualize miguu na Mikono Uweze Kutoka Na Hii Hata Usipovisualize silver cold Mawazo Hurudi Tu Kwenye Mwili Wake Waweza Usione Silver Cold Lakini Ndio Upo Astral Projection Ni Sawa Na Kufungua Third Eye Hapa Mkuu ukikosea au anything when wrong utarudi tu kama vile unatoka kwenye third eye state..

"And its A Teacher Whom You Are Talking With Here Not A Joke"

And I Know Whom M Teaching...

so we play safe....
Pasco

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Rakims

Samahani mtoa maada nina maswali yafuatayo kuhusu hii mada yako kama yalivyooneshwa hapa chini

1. Nisitingishe macho unamaanisha nini? kwani nitakuwa nishafumba macho tayari mda huo! naomba ufafanuzi tafadhali.

2. Nisiri na niconcentrate kwenye pumzi...unaweza kunipa njia za kuniwezesha niconcetrate kwenye pumzi?...hebu nipatie njia itakayonifanya nifanikishe kuipata hiyo concentration. Nifanyeje yaani juu ya hili?

3. Inachukua mda gani mpaka hiyo kinga kuachiwa?...sio lazima exzactly hata wastani tu. Huchukua wastani wa muda gani wa kukonsentrate mpaka hiyo ganzi kuachiwa?

4. 'Ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi'....Hapa ulimaanisha nini tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom